Hiki kitu ndicho kinachochelewesha maendeleo, sijui huwa wanadiscuss nini, kama sheria inazuia hawashindwi kuibadilisha kwasbabu wao ni kila kitu.tunarudi hapo hapo , hili jipu ni jipu la taifa viongozi wengi wenye dhamana hawana haraka ya maendeleo vitu vipo on paper wanavivundika for nothing
Ulisoma nilichoandika ukaelewa kweli? Ama ushalewa konyagi zako?Is Zambia in EA?, Is South Sudan not member of EAC, why they don't ask for discount?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Uthubutu wa Magufuli ndipo unapoonekana hapa. Mambo mengi yamefanyika kwasababu ya maamuzi yake ya ujasiri.mkuu hakuna kilichotengwa wangezungumzia pale kulingana na jinsi viongozi walivyo slow kimaamuzi inaweza kuvhukua mda mrefu au tukabakia nayo kwenye karatasi
Kazingua sana,hivi atakuwa mwenyewe kweli au kuna kitu behind the curtain? Ngoja tuone baada ya uchunguzi huenda report ikawekwa hadharani hata kwa uchache tu.yap. ndo huyu fala
Mbona kila siku huwa ninawaambia kwamba mradi wa Galana Kulalu ndio mradi Bora ambao wakenya mnapaswa kuuzingatia zaidi, huo ndio utakaotoa ajira nyingi kwa wakenya na kumaliza matatizo ya msingi hapo Kenya.Sema tu una wivu tutakuelewa. Sio WHO pekee imeleta headuarters Kenya. Kampuni karibu zote international zinakuja Nairobi.
@Tony254 katika nchi yenye hali hii, bado mnasherehekea kufunguliwa kwa ofisi za UN Nairobi?Muwe na hela kisha msaidiwe chakula?
Kunyaland yote njaa
Mama Tibaijuka alitaka kujaribu kuupanga huu mji yakatokea mashetani yakamzuia, kuna mijitu mingine utadhani haikuumbwa na roho ya utu ubinafsi ubinafsi, choyo, chuki, uroho wa madaraka ndivyo vitu wawazavyo, walimzuia bwana wakati pesa ilikuwa imeshapatikana.Serikali ipange huu mji upya tu ..hii ni aibu sana
Hawa watu hawa [emoji52][emoji52][emoji52]
Same story?
Same story?
Mpaka picha za ndege, hes never been in one i guessHuyu ndio yule jamaa aliokota picha Google na kuzipost hapa eti yupo Nairobi? [emoji2][emoji2][emoji2]
Nyie ni milioni ngap waliangukaMara ooh corona haikuwa Tanzania
Mara ooh lock down ni ujinga, tulikukuwa tukifanya kazi kama kawaida tujenge uchumi. Sasa wapi?
Nguvu ya umma.Demonstrators wa Sri Lanka wamefanikiwa kuvunja gate na kuingia ndani ya ikulu yao. Sasa wanamsaka rais na wakimpata watamsafirisha ahera kwa mangumi mateke.
Viongozi wengine hawapo madarakani kwa ajili ya watu wao wanaowaongoza bali kwa interest zao, sasa hapo ukute kaondoka na pesa ya kutosha anakula bata maisha yake yote na vizazi vyake huku wananchi akiwaachia mateso.Hii mbwa imeamua itoroke nchi yake baada ya kuharibu nchi yake.
Sijazungumzia ulivyovitaja hapa,nimesema kufanya maamuzi kwa miradi anayotaka kuifanya.Acha hizo ameondoka ameshindwa Mchuchuma na Liganga,Bagamoyo port.Hilo daraja la jangwani ndio hakutaka hata kugusa kabisa.
Kwani hata shule wewe ulifika?,Narudia tena, hivyo ndivyo mlifundishwa kwenye hayo mashule yenu?
Amsaidiaje wakati kwake kwenyewe kunafuka moshi? Usikute amekimbilia US au nchi za mlengo wa US na UK.[emoji1][emoji1]Haya Sasa Putin amsaidie ndugu yake kamba yako ikiwa mikononi mwa mchina au Mrusi inakatika any time
Yes, I am among the poorest people in Tanzania but I can employ and feed at least 100 Kenyans for the rest of their lives[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] is this even a smartphone? Joto la jiwe must be a poor Danganyikan
Wacha uongo, hakuna mahali danganyika 100km from dar kunakaa ivo. Mnatamani sana.
Haya ndo mambo uwa tunawaambia kila siku, unawezaje kuuza chakula njwakati ww ndani hujitoshelezi wanachekelea kuuza maua na chai njee ilhali wanakufa njaa akili ya wapi hii
Hii ndiyo Kenya tunayoijua, wanauza chakula Ulaya, wenyewe wanaokufa kwa njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254
Nicxie
Don YF
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app