Bongolala, if this is a highway to you and not a street, hauwezisaidikaumesema tom mboya ukataja na avenue nikakwambia ni main roads na ushahidi nimekupa sasa nataka unioneshe streets za mombasa na sio zile mwenzako kapost parking za hotel na mallππππ
au ww unafkiri mm sijui kama hilo swali halitajibiwa mpaka kiyama
Alafu hii nayo ni nini? Street ama main road (whatever that means)?hii ni main road na sio street sasa unalazmisha chumvi kua sukari auπ€£π€£
That's Moi Avenue, Mombasa cbdhebu nitajie hio street inaitwaje π€£π€£ kama hakukutokea neno road mbele
unajifanya hayawani auπ π
Hizo picha zote ni outdated,sahizi mambo ni super sana hayo maeneo....hiyo ilikuwa ni 2010's
Mbona Hawa watu hujenga shagalabagala with funny designs!!!
is this international source??π€£π€£π€£Copied from twitter, for more nenda bbc.com
πSince governments have done the βLet it Ripβ not dealing approach some crazy shit is happening.
Next upβ¦
βPreliminary lab tests results rule out the Ebola and Marburg viruses in these cases.β
CMO Dr Aifelo Sichalwe has urged Tanzanians to remain calm.
mm narudia hii ni main road na sio street na ushahidi nimekupa we huoni wenzako wwnakucheka π€£π€£π€£π€£Bongolala, if this is a highway to you and not a street, hauwezisaidika View attachment 2289846
moi avenue road na sio streetπππThat's Moi Avenue, Mombasa cbd
Kiukweli nimekaa sana Kisumu,kenya tofauti na Nairobi na Mombasa kwingine kote ni ushuzi tu,kwa mfano hii eti ni city?? Hii ni level za Kahama tu
Focus zombie unaijua bbc wewe.is this international source??π€£π€£π€£
usinililie mm sasa π€£π€£π€£Focus zombie unaijua bbc wewe.
Naona uhuru park inapikwa
Mnapata tabu sana kuifustilia Tz na kuisingizia mambo msiyoyajuaTanzania experts probe deadly unknown illness [emoji3544]
13 cases have been reported in Lindi, with patients having symptoms similar to Ebola or Marburg.
3 of them died.
Fever, severe headaches, fatigue and bleeding, especially from the nose.
#PrayForTanzania
#TanzaniaIsNotSafe
#EbolaInTanzania
Ukiona mtu anatumia emojis bila msingi wowote jua kuna mahali ameumia.usinililie mm sasa π€£π€£π€£
nioneshe internationa evidence na international test nasubiria budaa mbona maneno mengi πππUkiona mtu anatumia emojis bila msingi wowote jua kuna mahali ameumia.
Unafikiri utakuwa mtanzania wa kwanza kukana picha hapa? Na pia hautakuwa wa mwisho! Mbona tushawazoea?Hizo picha zote ni outdated,sahizi mambo ni super sana hayo maeneo....hiyo ilikuwa ni 2010's