Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nope, nyie ni washamba and u lack international exposure, mpo mpo tu kizembe pale mitaani, like Hobbits in the Lord of the Rings movie., so don't confuse ushamba wenu na kutokujua mambo as being "not giving a F**ck" kinda stance., mmezubaa nani, yaani ukiuliza mtanzania wakawaida randomly kwa street about current affairs utadhani ni chizi, laana tupuπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Because secondary school ni ya wanyama ama? Mbona NIT insingepartner na Alpha, hamna proper experience na flight simulators [emoji1787]
Kenya school of flying have a redbird full motion twin engine flight sim, NIT ilianza flight school recently nikama haina enough fleets for training students.
 
wacha kujiabisha bana! Hao wanafunzi wa secondary hawaendi kusoma chochote cha maana zaidi ya school tours! Hamna avation courses ziko offered Alpha nursery, primary na secondary schools waje kufuata training huko!
 

Hivi ndivyo Mteule wa Mwendazake anayoacha!
CC: Sukumangangs
Kama unahasira meza boga!! By the way siro atakumbukwa kwa utendaji kazi uliotukuka kuanzia makazi 'vitendea kazi 'haki jamii 'vituo na hali ya ulinzi hakuna kama yeye πŸ˜‚πŸ˜‚ katoka kanda maalumu kaingia kanda maalum meza wembe sasa we mkabila!!

*By the way naskia rostam azizi anazinguliwa na wakunya kuhusu gesi.....
 
ajaribu Uganda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…