Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GDP ya Kunyaland inajiharishia huku.😆😆..

Huwa tunaambiwa humu Kunyaland haipangiwi sasa one I wenyewe hapa wameomba msaada wa budget na wamewekewa binge la condition 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220722-174428.png
    138.6 KB · Views: 23
  • Screenshot_20220722-174758.png
    72.1 KB · Views: 25
Maskini Kunyaland inazidi kufilisika 😆😆
 

Attachments

  • Screenshot_20220722-174738.png
    90.9 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220722-174506.png
    76.4 KB · Views: 24
Tanzania imeingia mkataba mnono na commitment na WFP na Brazil kwenye kilimo cha Pamba..

Mama anaupiga mwingi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220722-174407.png
    107.2 KB · Views: 24
Intra-regional exports. Africa tuko chin sana.
Shida ni infrastructure au hatuaminian?!
View attachment 2300010
Soko la pamoja la Afrika sijui litawafanye kazi. Yani nchi zinahubiri majukwaani tu lakini uhalisia Kuna mazingira mabovu sana ya kibiashara baina ya nchi za kiafrika. Urasimu wa hali ya juu na vikwazo visivyokuwa na maana.

Tukiweza kufanya biashara Kwa angalau 50%, Kwa rasilimali zilizopo na idadi ya Watu tutafika mbali sana na kujikwamua kutoka kwenye utegemezi wa mataifa ya Magharibi. Ila ndio hivyo.. Tumevurugwa na kuvurugika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…