Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi mnavyokuwa mna ban kampuni za Tz kuja kuwekeza Kenya huwa mnafuata sheria zenu?
Na wanasema wazi wazi kabisa kwamba hakuna kampuni za kitanzania zitawahi fanya kazi Kenya..mkuki kwa nguruwe.

Tucheze fair game ili atakayeshinda ashinde kihalali.
 
Embu tupia picha ya hiyo AC unit hapo nyumbani kwako Eastern United States tujiridhishe kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Before I do that, tell me where exactly in New York and London you lived.

Now I know for a fact that you’re a jobless fraud. You probably don’t even own a passport. You want to see a picture of the AC unit in my house? Why would I give you the satisfaction? You haven’t even stepped foot in this part of the world. You know absolutely nothing about the weather here. I’ve been arguing with a damn fool this entire time.
 
Alisema au umemuangushia tofali tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kasema jana tu hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo mnaenda kununua kulekule mlipowajengea, akili za wapi hizi? Yani unauwezo wa kipesa mpk unaenda kuchimba swimming pool kwa jirani alafu kesho unarudi kulipa kiingilio kwa jirani ili uogelee.
Jirani ndiye ametulipa tumjengee. Kengen imelipwa na serikali ya Ethiopia kuichimbia geothermal wells. Kengen haikutumia pesa yake kuchimba hizo geothermal wells.
 
Wewe render c huwa zinakuumiza macho?
Sio mimi nimeweka render mzee. Mimi sijawahi kuweka render. Nilikuwa nazungumzia newspaper article niliyoweka ambayo inaeleza kwa undani jinsi Waturuki wanajenga factories sita ndani ya Naivasha SEZ.
 
Kwa jinsi mnavyopokea watalii kwa wingi hakuna uwanja unaostahili kupanuliwa Tanzania kushinda Arusha. Sijui kwa nini unapinga mapendekezo ya Tz_one ya kurefusha runway ya Arusha airport.
 
The situation on the ground


MY TAKE
Mykolaiv and Odessa (that is mainly russian loyalist) remain to be captured and Ukraine to be officially landlocked!
Yaani hawa Russia ni nuksi kuna mchezo unachezwa kijanja janja sana wanataka kuizunguka UKRAINE mwisho wa siku wajikute kati kati,,
Hii ni noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…