Hivi Watanzania mbona Mkenya akipost picha ya maisha yake huwa mnamkandamiza na kusema kwamba anaishi maisha ya chini? Kwani huko Tanzania hakuna karani wa uchaguzi? Punguzeni ujinga basi.Karani wa uchaguzi ππππ
Huku Tanzania watu kama ninyi ni wa hali ya chini kichizi
Yani kwa mtazamo wako huu siwezi kujadili nawe hii mada,hatutafuti ushindi hapa
Nafurahi kwamba umeshaanza kukubali kwamba hii bridge ipo Kenya.Hatuwezi kukaa hapa tunaongelea ka footbridge kenye metre 450 haya ni matumizi mabaya ya akili.
Uzuri Watanzania tunajenga na hela yetu ya ndani (mfukoni) hatutegemei mkopo/ mortgage.Kwenye kujenga tu Tanzania kwa Africa tupo kwenye rank yetu wenyewe, watanzania tunajenga bwana!
Embu onesha stand alone pillars tuone unless hujui difference kati ya bridge na causeway.Makupa bridge imejengwa ili makupa causeway iondolewe. Pengine hata hujui neno "causeway" ina maana gani.
aibu jasho mpaka mpaka matakoni πAgain, angalia hii Mombasa footbridge wanayo claim ni bridge angalia road marking ya kijua kali inaonesha ni 2 lane bridge alafu angalia road marking ya hii bridge picha ya tatu.View attachment 2315014View attachment 2315015View attachment 2315016
Achana nae huyo anachanganya between genetic modification through genetic engineering na genetic hybridization.nutrients zinatoka kwa ground au the surrounding! Fool unataka kusema GMO isipopandwa ikaota au isipolishwa ikakua itakuwa na nutrients naturally?
Kwani uhuru hakuiba?Watanzania tuambiane ukweli. Nampenda Magufuli lakini ukweli wa mambo ni kwamba Magufuli aliiba uchaguzi wa 2020.
Huoni causeway ikibomolewa kwa hio picha? Au wewe ni kipofu?Embu onesha stand alone pillars tuone unless hujui difference kati ya bridge na causeway.
So now you know more about what I eat than myself?You can't claim GMOs are bad yet you are eating genetically modified chicken almost on a daily basis and not forgetting their eggs as well.
You're contradicting yourself there, an unstable substance can't be sufficient.GMO has so many benefits. GMO organisms are nutritionally sufficient just like natural organisms. The only concern with GMO is their instability and this issue has been overcomed so many times.
Wapo lakini hamna mtu anataka hizo kazi except ni jobless ambaye ni class 7 lever. Mtu aliyefika secondary huku hizo kazi hawazitaki.Hivi Watanzania mbona Mkenya akipost picha ya maisha yake huwa mnamkandamiza na kusema kwamba anaishi maisha ya chini? Kwani huko Tanzania hakuna karani wa uchaguzi? Punguzeni ujinga basi.
Kuna miaka ya nyuma nilisikia afisa mmoja ya jeshi la nchi fulani akisifia wanajeshi wa Tz kuwa wako tough sana, sikuelewa kwa nini alisema hivyo. Miaka miwili hivi iliyopita kulikuwa na video ya makomandoo wa JWTZ wakifanya mazoezi huku kamanda mmoja akimwaga njugu, niliachwa mdomo wazi. Sasa hii ya leo ndio funga kazi.Sisi tupo tunapiga zoezi huku...tukijiandaa na uchaguzi wenu kama mtaleta fujo tuje kuwachapa na kuwatuliza
Naongelea current structure please stick to the point.Huoni causeway ikibomolewa kwa hio picha? Au wewe ni kipofu?
Tunazungumza kuhusu Magufuli sio UhuruKwani uhuru hakuiba?
Utaonaje pillars wakati view ya pillars imezibwa na causeway ambayo ipo kando ya daraja? Si ungoje causeway ibomolewe na bulldozers kwanza ndio uweze kuona hizo pillars. Baada ya wiki mbili causeway itakuwa imebomolewa yote na utaweza kuona pillars. Kwa sasa subiri causeway ibomolewe. Pillars zipo, utazionaNaongelea current structure please stick to the point.
Nairobi na Lagos zimeendana kwa kila kitu kuanzia public transport mpaka usafiHamna lolote, pembeni yake kdg kuna mauchafu kama chooni [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2316050
Huku wanachukua sana sana university students. 2013 wakati bado nilikuwa student kwa university, wengi wetu tuliapply na kupata hio kazi ya IEBC ya kuwa clerk. Malipo sio mbaya unavyofikiria. Ila kuna permanent and pensionable jobs za IEBC kwa mfano returning officer analipwa pesa nyingi sana na ni kazi permanent and pensionable.Wapo lakini hamna mtu anataka hizo kazi except ni jobless ambaye ni class 7 lever. Mtu aliyefika secondary huku hizo kazi hawazitaki.
Kwa ground sasa πππHahaha halafu Watanzania wanajifanya hawajaona hii tweet yako.
Cc joto la jiwe The best 007 chongchung coodip1 Sama boy 255