Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahyo hii umepata ndio comparison kwa DOM.? 🀣🀣🀣
 
Domo domo gani na tuliwaambia mtuonyeshe industries in Dodoma mkakunja mikia?
🀣🀣🀣 Kwahyo siku hiz watu wanataka kuona viwanda.? 🀣🀣 Watu wanaishi humo kwenye viwanda.?
 
Any comparison from your poor country.? 🀣🀣
Itakua tusi bana, bado mko porini kwa kiwangoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, jipende mlivyo, usikue mnyonge, be proud, u are trying, πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
imewaumiza kuona Mombasa has a residential ya kawaida kwa Dar hiyo itakua maeneo ya waarabu na wahindi around town sasa wanalia lia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...,
Mukuru ninini iko wap hapo nairobi

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
mji ata kiwango cha estate bado haijafika unaanika humu? eti capital city? nyambaff, potelea mbali dogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…