Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukishazidiwa na madeni ndio ushakuwa buncrapty hivyo ndio maana Rais wenu analia Lia.
Ulianza na kusema Ruto alisema Kenya ni bankrupt, nikakukaumbia unionyeshe pahali alisema hivyo. Umeshindwa sasa umeanza assumptions. Wewe tulia ungoje tutangaze bankruptcy kama hio ndio unataka kuskia. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtu anayefaa kuwa Rais ni Dr Philiph Mpango hii nchi inahitaji mtu anayeweza ku-fix economy na kuwezesha kukua 8% na si kujenga viwanja!
We don't need an economist. Tunaitaji Mzalendo anaechukia na kushughulikia wabadhilifu.

Mapango na wachumi wawe washauri na wengine wakae wizara ya fedha.
 
Huyo watchman anadhani tourists ni wale hupanda landcruiser wakienda safari pekee. 🀣🀣🀣🀣🀣
Hata wale wanaoshukia jomo air port na kuja Tz si mnarikodi na kuwaita watalii wenu πŸ˜‚πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…