Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo wakati nipo Morogoro nilikutana na bus moja ya NAIROBI-Kampala mbovu iyo imekula stika everywhere 🀣🀣, nilikua nalinganisha na zilee gari zilizopo pale stendi akina Abood na BM couches .. yo Bongo ni balaa bhana
One. Your buses are less attractive compared to za Kenya.

Two. 80% of your buses are assembled in Kenya.
 
It's funny 🀣🀣 mna assemble buses zetu yet sisi tuko na idadi kubwa ya buses at least 4 times kuwazidi .. it's very funny
Thanks for guesswork. Another thing we give you ugly buses as compared to zile amabazo zinabaki Kenya.

Rayan.

 
Famba kweli wewe, mshamba wa wapi wewe, classic buses zote huwa hazinaga stika nyingi kama hizo matatu zenu.. wewe ni mshamba siwezi kukulaumu
Wewe ndio mshamba. Hata hujui kutofautisha stickers na drawings. Kenyans buses have drawings.
 
Wewe ndio mshamba. Hata hujui kutofautisha stickers na drawings. Kenyans buses have drawings.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Whatever, classic buses ni cool na hazinaga mambo mengi kama jina linavyojielezaa. Classic
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Whatever, classic buses ni cool na hazinaga mambo mengi kama jina linavyojielezaa. Classic
Go
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Whatever, classic buses ni cool na hazinaga mambo mengi kama jina linavyojielezaa. Classic

🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Whatever, classic buses ni cool na hazinaga mambo mengi kama jina linavyojielezaa. Classic
Go back to School. Idiot.
 
Hiv kweli mkenya mpumbavu ni w kushindana na mimi kuhusu buses kweli.? Teargas we matako .. maisha yangu ya kila siku nikiwa kama mtanzania wa kawaida hii ndio huwa routine yangu πŸ‘‡when I'm in Darnikiwa nasafiri pia huwa napita kwenye mavituo mazuri ya buses πŸ‘‡bus terminal in my home town Tanga.. na nikiwa nakuja kwangu hapa DAR huwa natumia usafiri huu πŸ‘‡au nipande Tashrifu πŸ‘‡au nichukue zangu Nacharo. πŸ‘‡and more..
Rahaleoe
Tahmed
Simba mtoto
Satellite
Raqib
Twakal

And more, sasa mbwa kama wewe utaniambia nini mimi kuhusu classic buses .? Hiv vyote si unaishia kuona hapahapa kwenye picha za jF tu nyang'au wewe.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…