Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I am a girl.............can 2.5 million people fit in 2 sq. km? [emoji1787] [emoji1787]

Uuuhuhuhu, I love you already [emoji4]
So you see ? Now we are getting somewhere, let’s go slowly dear one,
Kibera alone got over 250k residents,
Then these are other slums making it up to 2.5m . In fact Kibera is the largest Slum in the entire universe. But it has got its rivals, the legends like the Mighty Mathare, the Great Huruma, Githurai, Korogochi, pipeline, Kariobangi etc
Angalia hiyo picha
 
Here is Ruai - the place you call a slum. Better than most middle class Estates in Dar

 
Wangekua na pesa wangetubana tozo ili wajenge zahanati nk?misplaced priority tu hapo hakuna ulazima wowote wa kujenga iyo bandari kwa sasa
Hii nchi kama tungetrmbea na maono ya Magufuli tungefika mbali sn, mzee alitaka tuweke kipaumbele kwenye mambo ya msingi kwanza na sio vitu vya kujionesha onesha kama unazo. Hiyo bandari ya bagamoyo co km alikuwa hataki ijengwe ila alisema kwa sasa hatuna uhitaji wa hyo bandari bali tuikarabati bandari ya Dar tuiongezee ufanisi na bandari zingine, pia hata hayo ma estate co kama hakutaka yajengwe la hasha bali alitaka hizo pension funds zijenge viwanda japo vidogovidogo vingi ili watz wapate kazi zen njaa iishe alafu hayo mambo ya starehe yatakuja yenyewe, ndivyo nchi za wenzetu zilivyoendelea hivyo mfano China.

Lakini sio kama hivi tunavyoenda, mara na estate, cjui kupendezesha jiji cjui nininini, hii haitakuwa tofauti na Kenya wanaopenda vitu vya kujionesha hata kama kitu kimeoza kitapigwa mirangi rangi mradi tu kujionesha uko vizuri. Hatuwezi kutoboa kwa style hiyo, tufanye mambo ya msingi kwanza kama tulivyokuwa tunafanya kipindi cha Mzee baba.
 
Kariakoo alone has many buildings than all counties in Kenya combined.
 
Hii serikali inatoa wapi pesa za kujenga longest SGR in Africa na Nyerere Dam na miradi mingine mikubwa ukanda huu na bado wana pesa za kuchezea kwenye huu mradi? Nani anawafinance?

Afadhali kuliko kungojea wawekezaji
 
Kuongezea hapo....Miradi ya kimkakati waendelee kuibuni,Mfano kuna fursa kubwa katika Sekta ya Utalii...Serikali bado inaweza kuwekeza kwenye hotels ikizikodisha ama basi ikawekeza zaidi kwenye infrastructures maeneo yenye fursa zaidi...
Nmeona leo Tunduma msururu wa malori 15Kms from border...hivi kweli suala la kutanua ile barabara ni la kungoja zaidi? Si afadhali hata Wakope hela watanue iyo barabara hadi Mbeya hata njia 6 ...border inahela ile wanakwama wapi
 
Are you so stupid you believe 2.5 million people live in Kibera or you're just saying it to win an argument?
Nenda uwaambie wataalamu wabadilishe waweke unavyotaka wewe, kwa takwimu zilizopo ni kwamba Kibera ndio the biggest slum in the world unadhani itashindwa ku accomodate watu 2.5 mil? Kwanza kwa ss idadi itakuwa imeongezeka, nadhani inakimbilia kwenye 3mil slum dwellers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…