Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afadhali kuliko kungojea wawekezaji

Binafsi sioni umuhimu wa kutapanya dola bilioni 10 kuanza bandari nyingine ikiwa tunaweza tumia dola bilioni mbili kuimarisha bandari ya Dar es Salaam ,
Hasa ukizingatia ule upande wa Kigamboni ni virgin kabisa. Kisha tuimarishe bandari ya Mtwara na Tanga kwa dola bilioni moja,
Hapo tunakuwa tumemaliza kabisa
 
Kuna pesa za watu kwenye huo mradi, so wameamua liwalo na liwe lkn pesa zao lazima wazipate. Maana ukiangalia mantiki ya kujenga bandari nyingine hakuna kabisa.
 
smart kabisa,is it true that large community of kikuyus live there???na sjauliza kwa ubaya sababu pia watz wameoa na kujenga uku Kenya Kwanza Kiambu,wachagga of TZ na Shona of Mozambique wamejenga manyumba smart sana Kiambu na wanaongea lugha mbili pia kikuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…