Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zimekamilika? so far what is the consumption? even though your total consumtion as at now for the last 10 years haifiki nusu ya Kenya kilaza, unadandia train kwa mbele hujui what's the crux of the discussion, nyambaff.,
 
Choo cha East Afrika na Kati. Ukipita mitaa ya Kanairo usipotapika basi wewe unaweza pigia msosi ndani ya choo cha stand bila shida[emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukiongea hivi mtu anaweza dhani umewai fika Nairobi.
Unabisha kwamba ka Nairobi sio kachafu? The biggest slum in the world ilo wapi? Chokoraa hapa duniani wanapatikana wapi? Nijibu hayo mawili tu alafu nirudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2961][emoji1787]
 
Umesema ukweli. Ndio hii Nairobi chafu.

 
Iyo hela inajenga barabara km ngap? Hatuna barabara kabisa wangechapa dualcarriage way za kutosha,connect wilaya zote tarafa zote...Sijui kwann Hawaoni
 
Hapa shida sio raisi,tutabadili sawa,shida ni Sisi wenyewe suala la kuwajibika sio hadi raisi aseme, Jpm alikua anatumbua na bado walikua wanafanya mambo ya kipumbavu tu hadi alikua anachoka...Watz tunapenda kusukumwa mno...the reason kwann wenzetu wako mbali sio kwasababu ya raisi wao watu tuache tabia ya kusubiri kila kitu tuambiwe ndio tufanye.Hulka ya kiswahili kila kitu polepole inakera mno
 
Iyo hela inajenga barabara km ngap? Hatuna barabara kabisa wangechapa dualcarriage way za kutosha,connect wilaya zote tarafa zote...Sijui kwann Hawaoni
Barabara na bandari si vya kulinganisha ikiwemo EPZ zita-support Bagamoyo port kama masterplan ilivyoainisha!

Watu wasiojua uchumi ndo hawawezi ona umuhimu wa Bandari itakayotoa ajira za kudumu. Uchumi unahitaji angle nyingi ili ukue! As long SGR imejengwa a bigger port will always be needed!
 
Umesema ukweli. Ndio hii Nairobi chafu.

Na ujue hii standard ina cover like 80% ya Dar is slum, mimi hawaniambii kitu, kila kitu kiko wazi ingia google earth zurura Dar yoote, then do the same for Nairobi, tofauti ni kubwa sana, uswazi is the middle and sir name ya Dar πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…