Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Undeveloped pori la kufa watu! Why?
Kinairobi ni finyu na bado kapo underdeveloped by 60%

View attachment 2373184
Nairobi ni very tiny tiny, more than 50% ni pori ama eneo ambalo halijajengwa, then maendeleo mengi yamekusanyika kando kando ya barabara...

Mfano Ukiangalia google map satellite view upande wa Mombasa road utaona karibu 60% ya pisha wanazoshare humu zikiwa upande mmoja na upande mwingine hadi unatoka Nairobi ni pori na mbuga.

Kuna mtu amesema most ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye magorofa ya udongo, the fact is, hayo majengo most of them ni single bedroom na vyumba ni vidogo sana, vyoo na usafi ni 0%, na kila jengo ni danguro
 
Oy mada ya cement consumption imekushinda.? Bado nipo DAR tu mzee sijaanza, Mwanza wala DOM, Alaf ndio nije miradi mikubwa ya kitaifa .. uone vile nitakupelekea moto hadi uhame humu
 
Kazi rahisi sana, mbona unaongea bila evidence? unaogopa nini kilaza? uongo haina life span humu, tunaumbua harakaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , mimi siku zote niko tayari na google earth kuumbua propaganda, porojo na uongo.., kando na Nairobi National Park kisha ukiingia Machakos county all sides is far developed than Dar is slum.., usilazimishe tufanane.., nyie mmejenga sana lakini ni uswazi ndio mijengo kwa wing..,

Mombasa road outside CBD.,



Mombasa road next to Nairobi National Park
 
Oy mada ya cement consumption imekushinda.? Bado nipo DAR tu mzee sijaanza, Mwanza wala DOM, Alaf ndio nije miradi mikubwa ya kitaifa .. uone vile nitakupelekea moto hadi uhame humu
Hakuna jibu lolote, u proved nothing licha ya kupost vi project venye haviwezi kuikomboa Tanzania, ina maana serikali yenyu ilikua sahihi kuonyesha cement consumption ya taifa kwa mwaka, ambayo wewe kilaza, a blind patriot asiye penda ukweli ulijaribu kupinga.., I read how u argued with Teargas uko very clueless..,
 
Unabisha na ukweli uku unajichoresha mwenyewe 🀣🀣🀣 πŸ‘‡hili pori
 
🀣🀣🀣 Kwani si tulikubaliana tunaenda ground mzee.? Vipi umeishiwa pumzi.?
 
🀣🀣🀣 Kwani si tulikubaliana tunaenda ground mzee.? Vipi umeishiwa pumzi.?
Kwani ulijibu eti?.., unapost list yenye like 3 projects in Nairobi inazifunika ulitakaje, kwa hili ulijikojolea mwenyewe, usipingane na serikali yako siku nyingine, jifunze kukubali ukweli..,
 

Nairobi in one picture, acha kukata map, ngoja nikuwekee full image, I've been mapping settlement pattern ya Nairobi for past 2 years, angalia kuanzia Airport hadi kasarani







This one picture ya Nairobi ngalia kiwango cha majengo ya slums za mabati, then angalia magorofa ya udongo, then tatufa appartment zenye wastani ambazo most Kenyans hawawezi kukaa...

Angalia huku chini kabisa kuna slum kubwa sawa but something very interesting, badala ya watu kujenga kwenda kwenye nafasi wameenda kulundikana in a single place
 
Kwani ulijibu eti?.., unapost list yenye like 3 projects in Nairobi inazifunika ulitakaje, kwa hili ulijikojolea mwenyewe, usipingane na serikali yako siku nyingine, jifunze kukubali ukweli..,
Wewe tena.? 🀣🀣🀣
 
Jinyonge ba mzee, wivu itakuuwa.., nje ya Dar hamna.., stadium imejengwa na county govt..,zoea Kenya mapema, kwa vile na bado.,
🀣🀣🀣 Nje ya DAR kuna stadia nyingi mno .. funga bakuli lako..
 
🀣🀣🀣 Nje ya DAR kuna stadia nyingi mno .. funga bakuli lako..
Nyambaff.., zile vitu ugly ndio unaita stadium, hakuna ya hii standard ya Kirigiti, niondolee ujinga mjukuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nyambaff.., zile vitu ugly ndio unaita stadium, hakuna ya hii standard ya Kirigiti, niondolee ujinga mjukuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
It's funny .. unataka battle au.? 🀣🀣
 
Yaani porojo na propaganda hujambo, hapo picha moja inaonyesha nairobi yote kivipi boya? unaumia kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nikama tu Dar same distance view..,
Dar is nothing! uswazi tupu..,

 
It's funny .. unataka battle au.? 🀣🀣
Hakuna kama Kirigiti njee ya ile moja ya Dar.., usilazimishe kile hakipo kiwe, haiwezekani, mapambio yako nimezoa, potelea mbali kilaza, nenda ukadanganye pengine wamalawi na domo domo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…