Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu naona Nairobi iko well organized.., watu wamejenga vizuri sana, ata hiyo slum ni kidogo ukilinganisha.., ama unabisha? weka google earth view yote tulinganishe makazi yote ukubwa vs slums..,
Yaani umeweka picha kwa umbali ili upotoshe but wapi...,
 
🀣🀣🀣🀣 Ni kama huijui Tz au ni kulazimisha nyeupe kuwa nyeusi.. kabla uondoke DAR kwanza apart from mkapa a.k.a Lupaso stadia kuna Uhuru stadium πŸ‘‡
 
Kwenye picha niliyoonesha ni sehemu gani ya Nairobi hujaiona?
Nilidhani ulisema Nairobi iko kwa picha moja.., haiwezekani, umejaribu kupotosha kwa kuweka kwa umbali lakini haujatoboa, sasa leta hizo picha zote kwa karibu, kisha tulinganishe na Dar.., mko hovyo jikubali, ukubwa wa Dar ni udong na makazi uchwara iliyo tapakaa kote kote..,
 
Ingia google earth halafu search " kijichi" halafu ndo utajua kuwa DAR ni kubwa kiasi gani
 
Mbona umechukua picha moja ndugu 🀣, na hizi picha zina afadhani nimeonesha kwa juu, nimewahi kutembelea na kuingia

Both Tandale na kwenye Hizo slums na Magorofa ya udongo
 

Ina maana hii hujaiona. Ni mwaka wa pili nimekuwa nikifanya utafiti jinsi Dodoma inaweza kuwa transformed into modern capital city in comparison to other cities in Africa and beyond.

Nakutaka siku moja ufike mji wa serikali wa Magufuli na unaojengwa, na utembelee Westlands na Upper hills huko kwenu, alafu tuone kama 2025 hamtaitukana serikali na watu wake wakupanga miji kwa nini hawajifunzi Tanzania
 
Naijua Tanzania bana, usiwe mwehu mbele yangu, tafuta wa kudanganya.., jiji moja sio Tanzania yote kilaza.., ikija kupanga miji, mnasoma kwetu.., 2025 sio mbali, Tanzania itakua mahali iko kwa sasa, or very slight change, mnajikokota kukamilisha miradi, sioni mabadiliko in 2025, yenye mtakua mmefanya ya kutushangaza.., nimekua hapa kwa muda mrefu nawajua nje ndani.,
 
🀣 🀣 🀣 Sasa mbona unakuwa subjective?

Kunazia 2015 we planned the cities of the future
 
🀣🀣🀣 Dar Iko na viwanja vinne vya mpira vya maana mzee..

Lupaso stadia
Uhuru stadia
Azam stadia
KMC stadia U/C

Hivi ni kando na Kigamboni football academy.. the biggest football academy in the region
Also U/C πŸ‘‡
Kwenye hili mtuache kidogo manzee 🀣🀣🀣
 
Naona umetia adabu, umeanza kuongea kwa heshima..,
Nyayo stadium, upclose view..,




 
Hadi nimeamua kuchangia, unaweza kuleta hayo madaraja mawili, ongeza na mengine 10 kama yako alafu ulete daraja la kingongo busisi tulinganishe

[emoji1787] [emoji1787]
Huyo karopoka asiichokijua,ajaangilia km wala vyanzo vyovypte vinavyokidhi kwenye kufanya ulinganishi.
 
Kasarani
City stadium
Nyayo Stadium
Ulinzi Stadium, Lang'ata
Ruaraka stadium
Hii City stadia ni joke 🀣🀣🀣 usitaje hii uchafu.. ma viwanja ya hivyo yapo kila kona hapa DAR na siwezi taja humu .. ruaka stadia ni ipi heb leta tuone hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…