Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tazama jiji lilivyopangika alafu ulinganishe na huu utopolo mnaita Dar is Slum.

 
Kabisa
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sasa mbona unakuwa subjective?

Kunazia 2015 we planned the cities of the future

Ameandika "anaijua Tanzania" na huwa wanasema humu kuwa hawaifuatilii Tanzania.
Sasa utajuaje Tanzania na huifuatilii! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umechambua vzr sn mkuu.
 
Hii serikali inatoa wapi pesa za kujenga longest SGR in Africa na Nyerere Dam na miradi mingine mikubwa ukanda huu na bado wana pesa za kuchezea kwenye huu mradi? Nani anawafinance?

Kaka Berth Hazijengwi zote kwa wakati mmoja wanaweza wakajenga berth moja moja lets say unakuta cost ni 200mil usd kwa berth ...alfu kuanzia mwaka ujao down payments ya Ndege itaanza kupungua maana most planes arrive next year na plan ya GOT ni kuwa na 19 planes hadi 2025
 
Uwanja uko wazi kabisa, mvua ikinyesha hamna shuhuri, asilimia kubwa ya washangiliaji wanakaa chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alitaka kusema ni render umepost [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…