NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
What a well planned city. 🙂View attachment 2373537
Nairobi in one picture, acha kukata map, ngoja nikuwekee full image, I've been mapping settlement pattern ya Nairobi for past 2 years, angalia kuanzia Airport hadi kasarani
View attachment 2373537
View attachment 2373545View attachment 2373555View attachment 2373560View attachment 2373545View attachment 2373555View attachment 2373560
This one picture ya Nairobi ngalia kiwango cha majengo ya slums za mabati, then angalia magorofa ya udongo, then tatufa appartment zenye wastani ambazo most Kenyans hawawezi kukaa...
Angalia huku chini kabisa kuna slum kubwa sawa but something very interesting, badala ya watu kujenga kwenda kwenye nafasi wameenda kulundikana in a single place
Porojo.., weka 2022.., ata hawajaweka streetlights, no paint, barabara ya chini not yet dualed.., yaani mnatamani turudi nyuma ila tunapaa., zoea Kenya mapema msife kwa pressure.🤣🤣😂😂Hivi hii ndio ile interchange ya kisumu ? View attachment 2372950
Mombasa ni kiboko tosha kwa Dar.., 🤣🤣🤣🤣🤣., yaani mnatiaga Huruma mnavyo jikaza kujikweza ilhali kwa sasa Tanzania yote ni uchi kabisa, hamfichi chochote wala hamdanganyi dunia😜😜🤣🤣🤣🤣🤣Mkijisauliza Sisi tunawakumbusha tu.. 👇View attachment 2372995View attachment 2372996View attachment 2372997View attachment 2373001View attachment 2373004View attachment 2373005.. Rhaenyra Targaryen. Hapo ni DAR mdogo angu, where lower middle class & uper middle class meet.. Rich class kidogo pia wapo humu
Leta ile POSH yenu yenye vumbi kwa jina la Karen 🤣🤣🤣Mombasa ni kiboko tosha kwa Dar.., 🤣🤣🤣🤣🤣., yaani mnatiaga Huruma mnavyo jikaza kujikweza ilhali kwa sasa Tanzania yote ni uchi kabisa, hamfichi chochote wala hamdanganyi dunia😜😜🤣🤣🤣🤣🤣
Unabisha kwamba ka Nairobi sio kachafu? The biggest slum in the world ilo wapi? Chokoraa hapa duniani wanapatikana wapi? Nijibu hayo mawili tu alafu nirudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2961][emoji1787]
Mombasa outside CBD, Bamburi Mtambo.,
View attachment 2349095
View attachment 2349079
View attachment 2349077@Sama boy 255 Dar haiwezi Mombasa, rudi nyuma ujikumbushe, usiweke domo domo, picha, video clips na google earth zinajieleza..,
Lishamba linajiliwaza, fukara halijatoka nje ya uswazi anakoishi, hadithi za vijiweni hizi, yaani wageni wengi wasio wa Kenya ama Watanzania wamefika na kishuhudia Kenya na Tanzania, kauli yao ni tosha, hawana mapendeleo ama uzalendo, ushahidi upo, wewe wivu, roho mbaya, chuki na uchawi ndio vinakusukuma, hauna lolote wewe, jipende mlivyo, kudhalilisha Kenya hakutafanya nyie mng'ae, ukweli unabakia pale pale, makazi fukara, yaani ushuzi unaotapakaa over 80% ya jiji la Dar bado uko pale pale., uchumi wenu ni ule ule hafifu ata sasa., mafukara wengi wa kutupwa ni wale wale na wengine wanaongezeka.., jipende mlivyo, usilazimishe fikra zako, kalilie kwa choo sio makosa ya Kenya kukua juu ya Tanzania 😜😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unajua siku moja kwenye mishe nakaingia zangu Kanairo, sasa nimechukua zangu taxi toka JKIA mpaka town (CBD) ambako niko nimebook hotel. Wakati tunaingia CBD tumepita chocho moja hivi chafuuu alafu kuna mahandaki barabarani na maji machafu, mpaka dereva akaanza kujistukia, akaanza kujiongelesha kwa aibu “yaani hii nchi huwezi kuamini hapa ni CBD” nikamwambia tulia Mzee baba, najua nimekuja Kenya, I can’t expect much…..😂😂
Mombasa ni koboko tosha kwa Dar.., mengine ni hekaya za abunuasi na Kiswahili tu, yaani domo domo..,Leta ile POSH yenu yenye vumbi kwa jina la Karen 🤣🤣🤣
Lishanba linajiliwaza, fukara halijatoka nje ya uswazi anakoishi, hadithi za vijiweni hizi, yaani wageni wengi wasio wa Kenya ama Watanzania wamefuka na kishihudia Kenya na Tanzania, kauli yao ni tosha, hawana mapendeleo ama uzalendo, ushahidi upo, wewe wivu, roho mbaya, chuki na uchawi ndio vinakusukuma, hauna lolote wewe, jipende mlivyo, kudhalilisha Kenya hakutafanya nyie mng'ae, ukweli unabakia pale pale, makazi fukara, yaani ushuzi unaotapakaa over 80% ya jiji la Dar bado uko pale pale., uchumi wenu ni ule ule hafifu ata sasa., mafukara wengi wa kutupwa ni wale wale na wengine wanaongezeka.., jipende mlivyo, usilazimishe fikra zako, kalilie kwa choo sio makosa ya Kenya kukua juu ya Tanzania 😜😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unajua siku moja kwenye mishe nakaingia zangu Kanairo, sasa nimechukua zangu taxi toka JKIA mpaka town (CBD) ambako niko nimebook hotel. Wakati tunaingia CBD tumepita chocho moja hivi chafuuu alafu kuna mahandaki barabarani na maji machafu, mpaka dereva akaanza kujistukia, akaanza kujiongelesha kwa aibu “yaani hii nchi huwezi kuamini hapa ni CBD” nikamwambia tulia Mzee baba, najua nimekuja Kenya, I can’t expect much…..[emoji23][emoji23]
Kaumia kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ningeshangaa sana kama hii spana isingemtoa Don wa Kibera mafichoni, hilo povu mpaka nimecheka……[emoji28][emoji28] na ukileta nyenyenye naongeza spana ya kulalia au nakukabidhi kwa Mwenyekiti wetu wa Kamati ya Roho Mbaya The best 007 apige msumari wa mwisho kwenye uchafu wa Kanairo[emoji23][emoji23]
Ghorofa ni zile tano kando ya barabara. Nyuma ya hizo ghorofa tano ni uswazi.KumependezaView attachment 2374068
Mi niliikataa hii appointment muda tu ilipotangazwa!Huyo makamba anazurura tu pasipo na impact yeyote kwa taifa
Leta Karen 🤣🤣🤣 nikuonyeshe kitu.Mombasa ni koboko tosha kwa Dar.., mengine ni hekaya za abunuasi na Kiswahili tu, yaani domo domo..,
Unapata maumivu ukiwa kipande gani mkuu.?Ghorofa ni zile tano kando ya barabara. Nyuma ya hizo ghorofa tano ni uswazi.