Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I'd take things that never happened for 500.
 
Wanasubiri PPP,
Hizo pesa za kujenga bandari wangejenga hii njia iwe walau njia nne kama sio sita.
Foleni 15kms tunaua biashara
 
Hatokuwa kwenye list ya kwenye karatas ya mpiga kuraπŸ˜€. Mda ukifika nitakukumbusha kwa kukuletea/kuiquote hii comment 🀣
Hata mimi nina wasiwasi atageukwa na hawa hawa wanaosema anaupiga mwingi.
Kuna movements fulani za watu naziona mhh, ngoja nichague kukaa kimya nisubiri muda.
 
mambo ni motooooo TZ ni amsha show zipo tz pekeeee uko mnaigiza tyu
 
am confused which among these two open-space arrangement carries the day..
am to present to some serious client this morning.. please help vet!..

hio cheddar nayo lazima!πŸ’ΈπŸ’΅ .. ni ile hali ya kujituma.. 'niko les na maisha'πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ

 
Mimi nataka ukusanye wachawi na warogi wote wa Tanzania, kamati kuu ya chuki na roho chafu, nawalambisha sakafu nyote kwa pamoja kwa kutumia ukweli, dawa Kali msiyo ipenda, nawanyorosha nikiwa pekee yangu, sitahitaji wenzangu maana Tanzania iko ilivyo, below par, ata mjaribu kupaka lipstick na kuficha matako yake, hayafichiki, mko hovyo kwa ukubwa wa nchi na wingi wa watu, ushamba ndio average wa taifaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hambadilishi chochote., Kwa hivyo niletee jamiiforums yote, niko na misuli ya kukabiliana na nyote combined. Ukweli kiboko yenu, kwa Kenya itabidi muingize porojo ama propaganda na uongo ili mjikombie na kujiliwaza, mlichoka zamani, kwa sasa mnatapatapa tu, mko wanyonge kweliπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£,
 

With this kind of headlines I believe in a span of just one year we going to draw a very clear mark between us and them, Ruto is more oriented in the common mwana nchi and not big shiny projects and with the common mwananchi empowered generally we going to have a very stable economy
 
Ruto karithi nchi iliofilisika, ina madeni 78% ya GDP, KRA kwa mwezi inatoa 60% kulipa madeni, 40% expenditures means mnahitaji mikopo zaidi ili kuendesha nchi

Miradi yenyewe mliokopea mapesa yote hayo mkiambiwa muioneshe hakuna mtachoonesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…