chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Kawasome wakenya wenzako huku walivyo kuwa disappointed na ruto, kikubwa ninachoona ni namna Kenya mlivyo dependants kwa imports, hamna mnachozalisha mnachotumia regularly zaidi ya majani ya chai, na ndio maana maisha yenu magumu sanaView attachment 2374317
With this kind of headlines I believe in a span of just one year we going to draw a very clear mark between us and them, Ruto is more oriented in the common mwana nchi and not big shiny projects and with the common mwananchi empowered generally we going to have a very stable economy
Ndio maana wengine wako humu huwa Wanatoa mapovu Sana kwa Sa100 ππ
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]labda kama ni House girl
Yaah wale miyeyusho sana unapangaje nyanya kwenye sehemu ya wapita kwa miguu?sema ndio ivyo mzee aliwalea sanaTuseme tu ukweli wamachinga walikuwa wanatuchafulia miji yetu na kuharibu mpangilio wa ujenzi. Angalia hapa palivyo pazuri [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Wewe ni taahira kweli kweli, unadhani Samia ni sawa na yule kiazi wenu?Hii serikali inatoa wapi pesa za kujenga longest SGR in Africa na Nyerere Dam na miradi mingine mikubwa ukanda huu na bado wana pesa za kuchezea kwenye huu mradi? Nani anawafinance?
Mda wa kupayuka kama hayawani ulishazikwa Chato..Watanzania, 2025 tutafute Rais mwingine.. huyu wa sasa hamna kitu, kafeli, ni kama vile hakuna Rais. Sioni watu/viongozi wakiajibika. Mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, viongozi wa taasisi za serikali na umma wengi wao wote wapo kimya. Kiufupi viongozi na wananchi hawana hata enthusiasm na uongozi wa sasa
Watanzania, 2025 tutafute Rais mwingine.. huyu wa sasa hamna kitu, kafeli, ni kama vile hakuna Rais. Sioni watu/viongozi wakiajibika. Mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, viongozi wa taasisi za serikali na umma wengi wao wote wapo kimya. Kiufupi viongozi na wananchi hawana hata enthusiasm na uongozi wa sasa
Haters watakwambia hatuna Rais turudi Misri ππππ..
Miradi yote Hii ya NHC,yule kichaa aliua kabisa huku akitoa excuses za kijinga na zisizo na msingi..Samia suluhu housing scheme kuanza kurindima wiki ijayo π.
Cha ajabu ni nini? Waliokuwa Kinyume na Utawala wa Mwendazake ndio wameteuliwa sasa,even SSH was against Mwendazake..Mi niliikataa hii appointment muda tu ilipotangazwa!
Plan B kwangu ndio iko poa ila inakuaje hakuna corridor yeyote inayoingiza mwaga kutokea dirishani moja kwa moja?am confused which among this two open-space arrangement carries the day..
am to present to some serious client this morning.. please help vet!..
hio cheddar nayo lazima!πΈπ΅ .. ni ile hali ya kujituma.. 'niko les na maisha'ππΎββοΈ
View attachment 2374283View attachment 2374284
Mshahara wako maanake hiyo meza ni around Kshs. 8k na hapo Dar tunaambiwa 85% ya wanaume wanapata chini ya 15k.
Imagine hilo ghorofa hapo mbele kuna watu wanakaa
π π π Maisha ya Kenya huyajui wewe yalivyo magumu, akitoa kodi, chakula, nauli hiyo meza ndio savings ya mwezi π’[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]labda kama ni House girl