Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Wanaharakati na wanasiasa huwa wansjitetea wenyewe.Kama sio Magu aliacha kashaiendeleza sana sera ya kuhamia Dodoma huyu angeshapiga chini huo mpango
Juzi alikua Dom, jana yupo Dar anatumia pesa nyingi mno kufanya huu upumbavu na hamna mwana harakati anaeliongelea hili 🙄🚮
Sasa anajenga nani? Mwendazake si kajengo awamu ya kwanza au? Sasa tuko awamu ya pili anajenga baba yako aliyeko kaburini Chato? Au aliacha pesa za kujengea?We unaongea upuuzi gani wewe.? Mji mzima wa Dodoma uko U/C .je kajenga Sa100.?
Magu aliekua anaenda Chato kipindi chake cha likizo walimkalia kooni kichizi, huyu kifutu wao kazi kuteketeza kodi Dar Dom kila siku lakini wao kimya kama hawaoni kama ni ufisadi mkubwa wa mali ya ummaWanaharakati na wanasiasa huwa wansjitetea wenyewe.
Angalia hata katiba wanayotaka mambo mengi ni ya kuwa favour wao na si mwananchi wa kawaida.
Haina haja ya kuleta wachawi we huna content unapanic bure Tu kunywa maji upunguze pressure nakuja kulipa hapa east Africa kuna mshamba kumzid mkenya?? Binafsi Mim mkenya yoyote hata awe vp kwangu namuona n comedian ushamba upo kwenye blood vesselsMimi nataka ukusanye wachawi na warogi wote wa Tanzania, kamati kuu ya chuki na roho chafu, nawalambisha sakafu nyote kwa pamoja kwa kutumia ukweli, dawa Kali msiyo ipenda, nawanyorosha nikiwa pekee yangu, sitahitaji wenzangu maana Tanzania iko ilivyo, below par, ata mjaribu kupaka lipstick na kuficha matako yake, hayafichiki, mko hovyo kwa ukubwa wa nchi na wingi wa watu, ushamba ndio average wa taifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23], hambadilishi chochote., Kwa hivyo niletee jamiiforums yote, niko na misuli ya kukabiliana na nyote combined. Ukweli kiboko yenu, kwa Kenya itabidi muingize porojo ama propaganda na uongo ili mjikombie na kujiliwaza, mlichoka zamani, kwa sasa mnatapatapa tu, mko wanyonge kweli[emoji123][emoji123][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787],
Hakuna picha hata moja hapo ya Tz, ili mshindane na Tz inabidi muongope kama hivi [emoji116][emoji116][emoji116]Danganyika na jehanamu hakuna tofauti
View attachment 2374550View attachment 2374551View attachment 2374553View attachment 2374556
Nilikua nategemea hili litokee mzungu akiringa tunampa mchina nae mchina akiringa tunaingia ubia na Uganda tunajenga mzigo mpaka tanga wenyeweSafii
Hata sura zao zimekaa comedy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haina haja ya kuleta wachawi we huna content unapanic bure Tu kunywa maji upunguze pressure nakuja kulipa hapa east Africa kuna mshamba kumzid mkenya?? Binafsi Mim mkenya yoyote hata awe vp kwangu namuona n comedian ushamba upo kwenye blood vessels
Kila mtu na anavyolendelea,mimi sitaki nyumba ya bila corridor ya kuingiza mwanga ndani.but corridors in most hse plans are mostly deep in the interior, rarely will u find any window in the corridor..
please i beg u do research with other architects' plans, then get back to me, wht u will have learnt.. 🙏🏽
then their's this notion in our career.. "the client is always right!".. so its my task and obligation to deliver exactly as u want it sir🙏🏽Kila mtu na anavyolendelea,mimi sitaki nyumba ya bila corridor ya kuingiza mwanga ndani.
Kweli kabisa, kwa mimi niliesafiri sanaa kipindi cha utawala wa mjomba niliona vingi mno kwa macho yangu mawili ..Nilishawahi uliza swali hapa kwamba tungemchagua Magufuli 2015, halafu 2016 akafa je Tungekuwa na sgr, dodoma ingeendelezwa, daraja la wami, kigongo na pangani yangejengwa, ubungo interchange ingejengwa, bwawa la nyerere lingejengwa, barabara dar Kibaha ingejengwa njia 8.
Meli kwenye maziwa zingekarabatiwa na mpya kujengwa, ndege zingenunuliwa, miradi ya maji mfano Arusha iliwekwa bilioni 500.
Mahospitali, vituo vya afya, stendi za mabus, masoko nk.
Yule jamaa kafa akiwa bado na vitu vingi sana kichwani angetushangaza.
Bandari za mtwara, dar na Tanga zimepanuliwa, airports mbalimbali,
Kitu pekee nina uhakika kingekuwa kinajengwa ni bandari ya bagamoyo🤣🤣
Haujawahi kufika DAR ndio mana unakunya tu 🤣🤣🤣.. wala hujui chochote kuhusu DAR ni mbuzi tu mmoja😁😁😁😁😁 Sijawahi kufika..Kila mtu abakie na anavyoamini..
Kuna mtu humu kasema 2025 Samia hatakuwa kwenye karatasi ya kura,nasubilia kuona na nimeitunza ile post..
Kwani lazima kufika Dar? 😬😬Haujawahi kufika DAR ndio mana unakunya tu 🤣🤣🤣.. wala hujui chochote kuhusu DAR ni mbuzi tu mmoja
Tangu kufa kwa Magu hatuoni tena barabara za mitaani zikijengwa wala miradi ya maana, zaidi ni miradi ile ile aliyoiacha na isitoshe speed imepungua kabisa, hawajui waanze lipi wamalize na lipi, vimiradi vidogovidogo kama flyover vinatumia miaka mitatu na havijamalizika mpk leo alafu mnawapa airtime kina Kivevele kuongea.Kweli kabisa, kwa mimi niliesafiri sanaa kipindi cha utawala wa mjomba niliona vingi mno kwa macho yangu mawili ..
Magu nae alikua anatumia muda mwingi Dar ilo nalo kitaalamu limekaajeKama sio Magu aliacha kashaiendeleza sana sera ya kuhamia Dodoma huyu angeshapiga chini huo mpango
Juzi alikua Dom, jana yupo Dar anatumia pesa nyingi mno kufanya huu upumbavu na hamna mwana harakati anaeliongelea hili [emoji849][emoji706]
Achana nae uyo Atakuyumbisha bureHakuna picha hata moja hapo ya Tz, ili mshindane na Tz inabidi muongope kama hivi [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2374576
Dar Silinga
View attachment 2374563