Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So wewe hata si wa dar…. Hehe so just a village boy ambaye anaona it’s an achievement sasa yuko dah. Ndo maanake unaona dah kama mbinguni safiri ujionee Mwenyewe uwache ushamba mwingi na propaganda
 
Na Msoto labda wewe ndo you enjoy msoto me on my to the airport destination Cairo we Baki ukisifia Eti umesafiri to dah
 
So wewe hata si wa dar…. Hehe so just a village boy ambaye anaona it’s an achievement sasa yuko dah. Ndo maanake unaona dah kama mbinguni safiri ujionee Mwenyewe uwache ushamba mwingi na propaganda
Me sio wa Dar ndio wala sikatai ila ni Mtanzania dar si ipo Kenya
 
Sana upande wa barabara bado hawajafikia kiwango kile...bado wanahitaji miradi kibao
 
Jibu zuri ni Huna takwimu Ahsante
 
Hii man sidhani kama ni sahihi, barabara za mtaa wakati wa JPM zilijengwa na DMDP phase 1 ambayo imeisha, phase 2 ndio hiyo wanataka kuanza. Lakini pia speed ya vibarabara vya mtaa si haba, naona TARURA wamekomaa na juzi wamepewa mpunga mrefu. Tuwe positive guys, I can still see the bright future in this country.
 
Wakati Kunyaland Wana struggle na madeni ,Tanzania tunaendelea kuvuma pesa kutoka kwenye migodi. 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221002-133935.png
    130.3 KB · Views: 36
Huna maisha wewe upo Cairo hahaha hapo mm juz nilikuwa Amsterdam wewe huko si unaendaga ndotoniiView attachment 2374820
Na bila aibu Una post this picture unakaa kijakazi…. Poor quality clothing na pimple zinainyesha hutunzi Sura vizuri hehe kuna difference kutembea nje kujivinjari na kuenda kuteseka nchi ya wenyewe kukaa kijiweni
 
😁😁😆 Poleni Sana Kunyaland kwa Kuangukia pua Kuhusu Bomba la EACOP .

Ujenzi uko pale pale👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221002-133949.png
    135.3 KB · Views: 37
Dar ya babaako [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tatizo mama hafanyi propaganda kama Mwendazake! Lazma wakubishie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…