Naweza kuutaja mmoja labda LNG kama mikataba itakuwa iko vizuri na siyo ya kutunyonga.Naomba kuuliza politely.. kwa mikopo inayokopwa na miradi inayoanziwa au imeanzishwa/visioned na awamu ya sasa tokea March 2021, ni miradi gan inachochea kukua kwa uchumi au itafanya uchumi ikue kwa zaid ya 6%. Kuna karesearch nafanya kidogo.. ningependa kujua hio miradi yote pls
Hawa jamaa wanachekesha sana, huwa hawapendi kupiga picha kwa mikono yao wanaogopa aibu kama hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atakwambia Nairobi ina ukungu sababu ya kuwa na misitu mingi na mvua imenyesha mingi sana leo, akhi leo nimecheka yangu yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena kwa MikopoUjenzi wa vyoo na vyumba vya madarasa na kuhamisha wamachinga ndio miradi mipya na imefanyika kwa mafanikio makubwa
😂😂
Tecno f1Kwa mfano mnaweza mkaniambia hii ni camera ya simu gani wakuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2374978View attachment 2374979
Ah, sikuiona hii 😄Ujenzi wa vyoo na vyumba vya madarasa na kuhamisha wamachinga ndio miradi mipya na imefanyika kwa mafanikio makubwa
😂😂
Mbona sioni neno royal tour humu ndani? 2019 mapato ya utalii yalikua zaidi ya $B2 bila rohotua#HABARI: Mapato yanayotokana na utalii yameongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 (zaidi ya Sh trilioni 3.05 mwaka 2021.
-
Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Septemba 30, 2022 Jijini Arusha na Mwenyekiti wa Kamati ya Ripoti ya Utafiti wa Watalii ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Juma S. Mkomi imeonyesha.
-
Naibu Katibu Mkuu Mkomi amesema taarifa ya utafiti huo inaonesha kuwa Tanzania inazidi kufanya vizuri katika sekta ya utalii huku mapato yatokanayo na utalii yakiongezeka mwaka hadi mwaka.
-
Amesema mwaka mmoja baada ya mlipuko wa janga la UVIKO-19, idadi ya watalii iliongezeka kutoka watalii 620,867 mwaka 2020 hadi kufikia watalii 922,692 mwaka 2021 ambalo ni sawa na ongezeko la asilimia 48.6
-
Amezitaja sababu zilizochangia ongezeko la watalii hapa nchini mara baada ya mlipuko wa Janga la UVIKO 19 kuwa ni jitihada zinazofanywa na Serikali pamoja na Sekta binafsi katika kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi
-
Mkomi amesema, matokeo ya utafiti yanaonesha idadi kubwa ya watalii walikuja hapa nchini kwa ajili ya kutembelea hifadhi za wanyamapori na fukwe.
Utafiti huo umefanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Benki Kuu Tanzania (BOT), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Idara ya Uhamiaji, Kamisheni ya Utalii Zanzibar na Shirikisho la wawekezaji katika Sekta ya Utalii Zanzibar ( ZATI)
-
Mkomi amesema takwinu za utafiti huo, zimepatikana kutokana na utafiti uliofanywa katika vituo vikubwa nane vya watalii, ikiwemo viwanja vya ndege vya kimataifa pamoja na maeneo ya njia za kuingilia na kutokea watalii.
-
Matokeo ya utafiti huo yameonesha kuwa idadi kubwa ya watalii wametokea nchi ya Ufaransa ikifuatiwa na Marekani, Kenya pamoja na Zambia
-
Katika hatua nyingine, Naibu Katibu Mkuu Mkomi amesema matokeo ya utafiti huo yameonesha kuwa wastani wa matumizi ya mtalii kwa siku hapa nchini yaliongezeka kutoka dola za Kimarekani 152 mwaka 2020 hadi kufikia dola za Kimarekani 199 mwaka 2021
Una maoni usisite kutuandikia
#HabarileoUPDATESView attachment 2375224
Anakwambia "Wadau niko juu ya KICC rooftop.
It's 4 years since I was here, wuehh Nairobi is developing fast."
Hiyo camera sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona sioni neno royal tour humu ndani? 2019 mapato ya utalii yalikua zaidi ya $B2 bila rohotua
Mulamula kafanya nn?
Wakati nasoma chuo enzi hizo, Tanzania ilikua an add on destination . Yaani wamalize fujo zao zote huko halafu waseme pia kuna Tanzania hebu tucheck kidogo.
Mambo yalibadilika na ile High Quality, Low Density, High priced Tourist products strategy.
Sasa hivi Hawaamini macho yaooo [emoji23].
Kama kitu ni high quality lazima kiwe Expensive sio kule kwa wakulungwa simba mmoja magari 1000 yanamfuatulia na kuna Hotel hata ya 10 Usd, Back packers na Mass tourism ni mchosho.
Angalia rates za four seasons Serengeti na Thanda Isand [emoji23]
Jionee tofauti.
Simu yangu naweza piga picha nikiwa na drive mwendo na picha ikatoka vizuri tu.
Sasa how come mtu umetulia rufutopu upige picha halafu picha zitoke mbovu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Usikute kashaweka filter tayari😂😂Kidogo nimwambie upgrade your camera ndio nikagundua huo utakuwa mtihani mzito, basi tumruhusu aweke hata filters maana picha inaumiza macho balaa😅😂
Labda jengo linazunguka, si nasikia KICC huwa ina revolve?Simu yangu naweza piga picha nikiwa na drive mwendo na picha ikatoka vizuri tu.
Sasa how come mtu umetulia rufutopu upige picha halafu picha zitoke mbovu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana hatuoni picha zao humu [emoji23].nilihisj huko rooftop hawaruhusu kupiga picha kapiga kiwoga woga kwa wizi ndio maana kila kitu blurry[emoji23]