Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Kwani si Unaweza ukamtoa halafu ukaingiza mwingine. Mfano Slowslow kwani bado Mbungeπ€£Kuna possibility kubwa Mulamula kuuacha ubunge, na kufanya shughuli nyingine nje
Afu nafas za ubunge kuteuliwa na Rais si ziliisha? Hii ya Angela imetoka wap? Au ni kupitia ya Mulamula?
inaweza kuwa suala la EACOP, Mulamula kakaa kimya sana!Akili mingi. Na hana haiba ya uongozi
Tamisemi amrudiahe Jafo basi.Mulamula kafanya nn?
Ebu nipe elimu kwa nini uraia pacha hautakiwi?Siku aliyoteuliwa nilipinga sana uteuzi wake.
Hiv hii nafas ilijazwa na mtu? Au ndo imejazwa jana na Angela KairukiKwani si Unaweza ukamtoa halafu ukaingiza mwingine. Mfano Slowslow kwani bado Mbungeπ€£
Sasa mulamula na mama wana tofauti gan kwenye uzungu? Kwenye kuwanyenyekea na kuwatii wazungu? Ulitaka awapinge? Mama mwenyewe hawezi kuwapinga.inaweza kuwa suala la EACOP, Mulamula kakaa kimya sana!
Nairobi ni mbovu kama camera ya mwenetu nairobae π€£π€£π€£π€£Wazee wazima mada imegeuka ikakua mambo ya camera [emoji848] [emoji28]
Sijui kama ilishawahi kujazwaHiv hii nafas ilijazwa na mtu? Au ndo imejazwa jana na Angela Kairuki
Dar is way below Nairobi whether you like it or not and thats the realityNairobi ni mbovu kama camera ya mwenetu nairobae [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uchumi hafifu π π π π π π π π πTangu kufa kwa Magu hatuoni tena barabara za mitaani zikijengwa wala miradi ya maana, zaidi ni miradi ile ile aliyoiacha na isitoshe speed imepungua kabisa, hawajui waanze lipi wamalize na lipi, vimiradi vidogovidogo kama flyover vinatumia miaka mitatu na havijamalizika mpk leo alafu mnawapa airtime kina Kivevele kuongea.
Tafadhali usiwe unanitag unapoandika shabiki za kipuzi hivi, uko na uelewa finyu sana kilaza., π π π π π πDon FY eneo lote hili likijazwa zege ni sawa na yale maghorofa yenu ya udongo kunyaland yote, sasa hizo pillars zipo zaidi ya 60
View attachment 2374906
Kiongozi usisahau kuweka na zile picha zao ili kuweka kumbukumbu vizuriMimi leo nimetembea kwa mguu kutoka Kinondoni Kwa Pinda hadi Mlalakua Bridge Kawe Club 361. Wakati naenda nilikua naface jua hivyo picha hazikutoka vizuri, Nilishare hapo juu kwenye title ya picha zenye ukungu [emoji23].
Wakati narudi nimepiga hizi hapa Chini.
Mimi ni mpenzi wa Demokrasia barabarani, Yaani wewe ukiendesha gari yako ya mamilioni barabarani na mimi ninayetembea au nikiendesha baiskeli ya elfu sabini nipite eneo salama tuwe sawa. Naweza kusema, Barabara Ali Hassani Mwinyi mpaka Bagamoyo inapoanzia wamejitahidi, Pedestrian and cyclist friendly road. Hii na ile barabara inayounganisha Tanzanite Bridge ina mchango mkubwa sana kwa afya za wakazi wengi wa Dar. Watu wengi sana wanatembea na kukimbia kwenye barabara hizi.
View attachment 2375284
View attachment 2375285
View attachment 2375286
View attachment 2375287
View attachment 2375288
View attachment 2375289
View attachment 2375290
BTW
Nimesikia mlulungwa kataja kitu Urban decay, Hivi zile taka kila kona hazioni [emoji23]. Manina kesho naanza kushare picha za rooftops Dar tulinganishe na ule ukungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili jengo lingekuwa kwao wangepiga kelele humu wiki nzima, jamaa washamba sn wa majengo hawa, huwa nashangaa sana. Yani ktk vitu ambavyo havinistui basi ni majengo.Chuga unya ni mwingi [emoji116]View attachment 2375511
Mbn eneo kubwa liko wazi?Dar is way below Nairobi whether you like it or not and thats the reality View attachment 2375521