The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
KwambaWazee wazima mada imegeuka ikakua mambo ya camera [emoji848] [emoji28]
As a MoFA anapaswa ku-issue a letter of protest to EU Parliament! Ila sina uhakika kama issue ya EACOP ndo imemtoa!Sasa mulamula na mama wana tofauti gan kwenye uzungu? Kwenye kuwanyenyekea na kuwatii wazungu? Ulitaka awapinge? Mama mwenyewe hawezi kuwapinga.
m7 pekee kama head of state ndo kaongea kuwa wataendelea regaldless of western drama
Nioneshe mradi wowote kunyaland unaotumia cement hata robo quarter ya hilo daraja nifunge account harakaTafadhali usiwe unanitag unapoandika shabiki za kipuzi hivi, uko na uelewa finyu sana kilaza., π π π π π π
Usipotee njia, hapa sio New York...,
Ni kweli hapa wezi kuwa newyork sababu kule hakuna stray moooz πππUsipotee njia, hapa sio New York...,
View attachment 2375555
View attachment 2375557
View attachment 2375556
View attachment 2375558
View attachment 2375559
View attachment 2375561
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Don FY eneo lote hili likijazwa zege ni sawa na yale maghorofa yenu ya udongo kunyaland yote, sasa hizo pillars zipo zaidi ya 60
View attachment 2374906
Picture of your built house , letβs start from thereWakenya wengi wa humu hawatufikii hata robo Watz wa humu kwa maisha bora.
Kabisa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa wanachekesha sana, huwa hawapendi kupiga picha kwa mikono yao wanaogopa aibu kama hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kupiga mayowe acha wayaone wenyewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...by Afande Sele.Sijui nilitaka niandike nn.. ila ngoja ninyamaze[emoji25][emoji40]
- Yuko wap yule waziri wa maji Aweso aliekuwa akichacharuka watu wakila fedha za mirad ya maji kipind kile?
- Waziri wa biashara saiz ni nan? Mbona simsikii?
- Kwenye umeme nilipo, wazir wake ndo uozo no.1
- Kwenye fedha, ndo yupo mwigulu baba tozo
Ndio mnatoka porini π π π π π π π jengeni buildings za maana nje ya Dar pia paonekane kando na mauswazi mlizo jaza kwa miji zenu..,Hili jengo lingekuwa kwao wangepiga kelele humu wiki nzima, jamaa washamba sn wa majengo hawa, huwa nashangaa sana. Yani ktk vitu ambavyo havinistui basi ni majengo.
Mulamula kaenda kinyume na maelekezo nini? Katumia utaalm badala ya kuamua kisiasa...sihasa hizi [emoji848][emoji848][emoji848]
Kama siyo kutaja maeneo mtu mwingine angeamini siyo Bongo, hakuna kisingizio cha ukungu hapa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]Mimi leo nimetembea kwa mguu kutoka Kinondoni Kwa Pinda hadi Mlalakua Bridge Kawe Club 361. Wakati naenda nilikua naface jua hivyo picha hazikutoka vizuri, Nilishare hapo juu kwenye title ya picha zenye ukungu [emoji23].
Wakati narudi nimepiga hizi hapa Chini.
Mimi ni mpenzi wa Demokrasia barabarani, Yaani wewe ukiendesha gari yako ya mamilioni barabarani na mimi ninayetembea au nikiendesha baiskeli ya elfu sabini nipite eneo salama tuwe sawa. Naweza kusema, Barabara Ali Hassani Mwinyi mpaka Bagamoyo inapoanzia wamejitahidi, Pedestrian and cyclist friendly road. Hii na ile barabara inayounganisha Tanzanite Bridge ina mchango mkubwa sana kwa afya za wakazi wengi wa Dar. Watu wengi sana wanatembea na kukimbia kwenye barabara hizi.
View attachment 2375284
View attachment 2375285
View attachment 2375286
View attachment 2375287
View attachment 2375288
View attachment 2375289
View attachment 2375290
BTW
Nimesikia mlulungwa kataja kitu Urban decay, Hivi zile taka kila kona hazioni [emoji23]. Manina kesho naanza kushare picha za rooftops Dar tulinganishe na ule ukungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cheki mama alivyokuwa akiongea nenda naye neno kwa neno utang'amua kitu mkuu.Mulamula kafanya nn?
[emoji23][emoji23][emoji23] ila huyu mchizi amenifurahisha sana aiseee, halafu wanasema wana maisha mazuri kutushinda sisi.Simu yangu naweza piga picha nikiwa na drive mwendo na picha ikatoka vizuri tu.
Sasa how come mtu umetulia rufutopu upige picha halafu picha zitoke mbovu! [emoji23][emoji23][emoji23]