Hata mimi nmewahi kutembea kuanzia apo Victoria hadi mwenge...unachart vizuri tu hakuna fujo...taa zinawaka vizuri mitaro imefunikwa yani full kipupwe...Natoa heshima kwa Aliekamilisha huo mchongoMimi leo nimetembea kwa mguu kutoka Kinondoni Kwa Pinda hadi Mlalakua Bridge Kawe Club 361. Wakati naenda nilikua naface jua hivyo picha hazikutoka vizuri, Nilishare hapo juu kwenye title ya picha zenye ukungu [emoji23].
Wakati narudi nimepiga hizi hapa Chini.
Mimi ni mpenzi wa Demokrasia barabarani, Yaani wewe ukiendesha gari yako ya mamilioni barabarani na mimi ninayetembea au nikiendesha baiskeli ya elfu sabini nipite eneo salama tuwe sawa. Naweza kusema, Barabara Ali Hassani Mwinyi mpaka Bagamoyo inapoanzia wamejitahidi, Pedestrian and cyclist friendly road. Hii na ile barabara inayounganisha Tanzanite Bridge ina mchango mkubwa sana kwa afya za wakazi wengi wa Dar. Watu wengi sana wanatembea na kukimbia kwenye barabara hizi.
View attachment 2375284
View attachment 2375285
View attachment 2375286
View attachment 2375287
View attachment 2375288
View attachment 2375289
View attachment 2375290
BTW
Nimesikia mlulungwa kataja kitu Urban decay, Hivi zile taka kila kona hazioni [emoji23]. Manina kesho naanza kushare picha za rooftops Dar tulinganishe na ule ukungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawk eye, nilishuku sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo tumuanike huyu mwizi kweupe.. hizi picha kachukua kwenye hii video ya youtube.. watu tuna tech ya kujua ulipopiga/ulipotoa video au picha🤣..my samsung camera while strolling in the streets of cape town's, sea point area in august 🤣🤣🤣
View attachment 2375587View attachment 2375588View attachment 2375589View attachment 2375590View attachment 2375591View attachment 2375592View attachment 2375593View attachment 2375594View attachment 2375595View attachment 2375596View attachment 2375597View attachment 2375598
Hakuna ya kenya ya mwaka huu?iyo ni 2020Wakenya mwizi naona anafukuzwa mdogo mdogo Don FY
View attachment 2375609View attachment 2375610View attachment 2375611
Revenue collection between Kenya and Tanzania, financial year 2021/2022.., yaani Tshs.40Trillion for Kenya vs Tshs.22Trillion for Tanzania.., lanes bana😂😂😂😂😂😂😂Leta ya 2022 kama una ubavu 😂😂😂
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]Ushauri mzuri sana.Lakini atakuja na article kwamba hata wazungu camera zao zina ukungu hiyo ni gani kwake [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii imekaaje kitaalamu[emoji2]Revenue collection between Kenya and Tanzania, financial year 2021/2022.., yaani Tshs.40Trillion for Kenya vs Tshs.22Trillion for Tanzania.., lanes bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2375679
View attachment 2375680
DODOMA Iko na majengo mingi ya maana kuliko huu upuuzi umepost hapa.. mind you DOM haingii hata top 5 BongoNdio mnatoka porini 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 jengeni buildings za maana nje ya Dar pia paonekane kando na mauswazi mlizo jaza kwa miji zenu..,
View attachment 2375566
View attachment 2375584
View attachment 2375585
wee unaona matope gani hapa eldoret wewe dogokundutopestan all around!
Potelea mbali na hako ka Dodoma Kako.., Rudi Nako kule vijiweni dogo, eti Dom, nyambaff sio Kila sehemu unaleta battle ata kwa mambo obvious 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂DODOMA Iko na majengo mingi ya maana kuliko huu upuuzi umepost hapa.. mind you DOM haingii hata top 5 Bongo
[emoji1787][emoji1787]Acha uongo wew.. unascreenshot video youtube unasema umepiga wew.. ukibisha nakutafutia ulipotoa hii video youtube
View attachment 2375616
Acha uongo wew.. unascreenshot video youtube unasema umepiga wew.. ukibisha nakutafutia ulipotoa hii video youtube
View attachment 2375616
Nunua simu kaka hiki ni kitu gani picha haionekaneni
Hata mimi nmewahi kutembea kuanzia apo Victoria hadi mwenge...unachart vizuri tu hakuna fujo...taa zinawaka vizuri mitaro imefunikwa yani full kipupwe...Natoa heshima kwa Aliekamilisha huo mchongo
Mkipost picha kumi ujue nane zitakuwa za expressway ya mchina mbili zitakuwa za GTC ya mchina pia, mnatia huruma kwakweli.Usipotee njia, hapa sio New York...,
View attachment 2375555
View attachment 2375557
View attachment 2375556
View attachment 2375558
View attachment 2375559
View attachment 2375561
We mgeni humu? Nilishapost kitambo.Picture of your built house , let’s start from there
Naona na wewe umeamua kumcheka yule jamaa wa ukungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]my samsung camera while strolling in the streets of cape town's, sea point area in august [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2375587View attachment 2375588View attachment 2375589View attachment 2375590View attachment 2375591View attachment 2375592View attachment 2375593View attachment 2375594View attachment 2375595View attachment 2375596View attachment 2375597View attachment 2375598
Usisahau kwamba serikali yao huwa inatoa takwimu fake ili kuvutia investors. Makusanyo halisi Kenya kwa uhalisia hayazidi Tsh 3trilion.Wakenya mwizi naona anafukuzwa mdogo mdogo Don FY
View attachment 2375609View attachment 2375610View attachment 2375611
Kwa mara nyingine teinaaa jamaa kadakwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha uongo wew.. unascreenshot video youtube unasema umepiga wew.. ukibisha nakutafutia ulipotoa hii video youtube
View attachment 2375616
Leo tumuanike huyu mwizi kweupe.. hizi picha kachukua kwenye hii video ya youtube.. watu tuna tech ya kujua ulipopiga/ulipotoa video au picha[emoji1787]..