Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
0Naomba kuuliza politely.. kwa mikopo inayokopwa na miradi inayoanziwa au imeanzishwa/visioned na awamu ya sasa tokea March 2021, ni miradi gan inachochea kukua kwa uchumi au itafanya uchumi ikue kwa zaid ya 6%. Kuna karesearch nafanya kidogo.. ningependa kujua hio miradi yote pls
Wakunya kwa sifa za kijinga Dah . Sasa kadhalilika bureAcha uongo wew.. unascreenshot video youtube unasema umepiga wew.. ukibisha nakutafutia ulipotoa hii video youtube
View attachment 2375616
Wacha tuone kama ni ukweli..., zero GTC zero Expressway π π π .., Kenya sio Tanzania..,Mkipost picha kumi ujue nane zitakuwa za expressway ya mchina mbili zitakuwa za GTC ya mchina pia, mnatia huruma kwakweli.
Miaka yote tunajua mna number kubwa, ninaongelea last quarter mbona umegoma kuleta ya last quarter?Revenue collection between Kenya and Tanzania, financial year 2021/2022.., yaani Tshs.40Trillion for Kenya vs Tshs.22Trillion for Tanzania.., lanes banaπππππππ
View attachment 2375679
View attachment 2375680
Unataka nitoe wapi and it is yet to be released..., sijaona, let me check...,Miaka yote tunajua mna number kubwa, ninaongelea last quarter mbona umegoma kuleta ya last quarter?
then, tunayo United Mall, in kisumu cityLeo tumuanike huyu mwizi kweupe.. hizi picha kachukua kwenye hii video ya youtube.. watu tuna tech ya kujua ulipopiga/ulipotoa video au pichaπ€£..
Niambie jipya ulilopost hapa.Wacha tuone kama ni ukweli..., zero GTC zero Expressway [emoji116] [emoji116] [emoji116] .., Kenya sio Tanzania..,
1. Upper Hill District
View attachment 2375849
View attachment 2375821
2. Nairobi Commuter Train
View attachment 2375827
View attachment 2375833
Syokimau station for Nairobi Commuter train..., [emoji115][emoji115]
View attachment 2375840
3.Thika Super Highway
View attachment 2375831
View attachment 2375850
4. Kilimani
View attachment 2375852
5.Parklands
View attachment 2375862
6. Ngong Road
View attachment 2375868
View attachment 2375864
Bado official data haijatolewa.., but tunaeza fanya estimation tu from few available previous recent information π π , kuna mwezi moja KRA netted 202B (Tsh 3.9Trillion. kwa exchange rate ya 19.5) na kuna mwezi walitengeneza 143B (Tshs. 2.78Trillion), as shown below, sasa lets work na estimation assuming KRA collects 140B(Tshs. 2.7Trillion) kwa mwezi, yaani kiwango cha chini kabisa, wakifanya vibaya, the first quarter (miezi mitatu ya kwanza 2022/2023 financial year) itakua approximately Tsh. 8.1 Trillion, TRA naona wame collect Tsh. 5.9Trillion ambayo inakushangaza! Tanzania bado sana bana.., ila hii ni tentative, tungoje data kamili tutajua mbivu na mbichi, lazima itachapishwa.,Miaka yote tunajua mna number kubwa, ninaongelea last quarter mbona umegoma kuleta ya last quarter?
Niambie jipya ulilopost hapa.
Usigeuze gear hewani, ulisema kati ya picha kumi ya Nairobi tunazo post, nane ni expressway na mbili GTC..., ulikua unajaribu kujiliwaza kwa kueneza propaganda, Nairobi sio size yenu., tuko na mengi ambayo jibu mlikosa, wewe nenda utafute Kibera, historia na picha za uncollected takataka ujiliwaze bana, hauna lolote la maana π π π π π π bakini na BRT na bridges, as completed projects., hamna kitu kingine Dar zaidi ya bahari na CBD mojaππππππππππMkipost picha kumi ujue nane zitakuwa za expressway ya mchina mbili zitakuwa za GTC ya mchina pia, mnatia huruma kwakweli.