Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii city kwakweli ni BIG NO..
Wewe kwa mdomo nimekuzoea, ukweli mchungu kumeza, Dodoma bado inajengwa dogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, alafu Eldy sio city, it is just a town hapa Kenya..., eti ulinganishe na Dodoma utakua wazimu weweπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Siku ile Dodoma itafika hii kiwango usiogope kunitag.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Eldoret International Airport




Emirates Cargo.,

Egypt



Eldoret Airstrip.., along Iten Road..,
 
Sasa mbona picha ni hyo hyo moja tu unaizungusha angle tofauti?
Chunguza pole pole..., tofautisha kile unaona ndani..., vumilia., ni Eldoret, wala sio Kisumu, ama Nakuru ama Mombasa., ni town sio city.., zoea Kenya mapema kwa vile na bado.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbwa we umewai post picha gani hapa? 🀣🀣 I dare you upige picha hapo kwa airport na rungu sahii tuone.
 
Hamuwezi kujenga nyumba za watu 150k wanasiasa wenu wanawadanganya tu sababu wanajua uwezo wenu mdogo, nyayo estate kubwa Kenya nzima haichukui hata watu 50k
 
Unajitahidi kuitetea lakini inakua disappoint 🀣🀣🀣.. umeona umeanza kupost na cargo 🀣🀣🀣 Duh so poa hii bado sana kaka
 
Kwanini inaitwa international Airport?
 
wewe dogo, tangu lini eldy ikawa na gorofa moja.. hii yote ni wewe..

 
Ninyi na vingombe vyenu viwili kama home pets mnataka kuvipa mpaka national ID, watanzania tufanyaje sasa tulio na ng'ombe wengi kama population yenu yote? πŸ˜€

View attachment 2376170
Historia vs reality kwa sasa...,
"past tense"


2022 same place.., 😝😝


Mtanyooka.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ πŸ’ͺ
 
Ila nyie kwa uchafu mmenishinda tabia aisee, mikojo mpk kwenye flyover [emoji116][emoji116]
 
Mbwa we umewai post picha gani hapa? [emoji1787][emoji1787] I dare you upige picha hapo kwa airport na rungu sahii tuone.
Karibu Mr. Ukungu tunaomba picha tafadhali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…