Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona huko Somalia mmeshindwa na Al Shabbab?
 
Ila nyie kwa uchafu mmenishinda tabia aisee, mikojo mpk kwenye flyover View attachment 2376216
town with red soil.., zoea Kenya
Hakuna assuming hapa, nimechukua latest quarterly collection provided by KRA na inaonesha ni wastani wa 2T per month, hizo za 2.7T hata TRA hufika hasa November and December

Hakuna assuming hapa, nimechukua latest quarterly collection provided by KRA na inaonesha ni wastani wa 2T per month, hizo za 2.7T hata TRA hufika hasa November and December
You are totally ignorant, uko humu kujifutahisha, ukweli na wewe hampatani, potelea mbali na akili za mtaro.,
 
This was one of uhuru's project, hope he continues with it and do more
 
Ondoa upumbavu hapa, international airlines zipi zinashuka kwenye hivyo vijiji viwili? Are customs for cargo? Are passengers cargo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…