Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni source kutoka Kenya, yaani jamaa anajua anachosema



View attachment 2376289
Another keyboard warrior who thinks every read on the internet is true. 🀣🀣🀣 Si your favorites Ukraine ilikua imalize Ukraine in two weeks. 🀣🀣 Uganda waungane na nyinyi na hizo silaha zenu 131 then mkuje.
 
🀣🀣🀣🀣 It's very funny 🀣🀣🀣.. kazi ya police ni kulinda usalama wa raia na mali zao, ikiwa police wanauwawa na vijana wa hovyo, na KDF ipo kimya, serikali ipo kimya then what does it mean.? Serikali na jeshi la kenyay ni dhaifu to the point kikundi cha vijana wa hovyo kinaua police and no consequences .. no wonder Muhoozi anasema anaeza invade NAIROBI in just 2 weeks if he wants to..🀣🀣🀣
 
30 September 2022

The New Bagamoyo Road in Dar es Salaam Tanzania

Towards Regent estate, Morocco, Victoria, Makumbusho, Mwenge and Sinza
 
Unajua kazi ya army kweli ama unaanika ujinga humu kama kawaida yako? Kenya sio Tanzania jeshi wanatangatanga kwa streets na kuvunja matofali kwa stadium, eti ma ninja wanao pigwa na child soldiers wa DRC🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣, fyata na ujiende zako, haujui unachozungumzia, ata kilaza wa M7 wewe unamchukulia poa, uko hovyo banaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Ali Hassan Mwinyi Road, Dar es Salaam Tanzania


Walking around Kisutu, Upanga and Seaview suburbs of Dar es Salaam
 
Mwambie kama batoto ba Congo banapiga jeshi lao kama mbwa koko, je Al Shabab? Ama Pokot warriors?.., hawa ni wanyonge kuruka,., 🀣🀣
 
Uganda ya sahi na hii Tz moja, hapa ni ukweliπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Sisi ndio tulilikomboa taifa la UG .. kwahyo Uganda ni koloni letu, tunaeza wafanya tutakavyo . Na ikiwa Uganda inajinasibu kuwafinya ndani ya wiki mbili (rumour has it; UG can definitely gonna have the mission done in just the first quarter of the period that Muhoozi has projected )🀣🀣🀣 imagine sisi Tz(UG's Master) tukihitaji kuwavamia tutatumia muda gani kuwateka,
 
Mnataka kuvamia Uganda na zile helicopters tano mko nazo?
 
Historia sio leo, ilipita na kuzikwa kwa kaburi la sahau, hii sio Army ya Idi Amin, ni UPDF, ya M7.., with Russian Sukhoi and long range missiles idiot., hamuna jibu kwao, usijitekenyeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣 Kazi ya police ni nini mnzee.? 🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣 Kazi ya police ni nini mnzee.? 🀣🀣🀣
Heshimu watoto wadogo wa DRC dogo.., Mlichoka zamani, uliza wanamgambo wa msumbiji watakupa jibu, Kagame na jeshi lake ako sawa sana kushinda TPDF, the guy neutralized Mozambique terror groups with ease, karibu wawafire nyie na Mozambique combined, πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚.,
 
Sasa kaka mkubwa ikiwa zamani tuliweza kupiga hizo buru kenge na tech yetu ilikua hafifu, na tuliwakomboa, je leo unafkiri tunaeza wafanya nini if we want to.? 🀣🀣🀣. UG ni colony letu mzee.. tunatumia assimilation policy kuwatawala.. na ndio mana wanakimbilia huku kwa Master wao 🀣🀣🀣
 
Hii ni source kutoka Kenya, yaani jamaa anajua anachosema



View attachment 2376289
Hehehe, hii Tanzania mnashinda mkichocha humu eti mnajua vita ndio hiyo ovyo Zaidi hapa East Africa.🀣🀣🀣 You're lucky you have peaceful neighbors except one that has a deep lake separating you.
 
Ugandan army walikua dissilussioned na Amin, yaani nikama mlipewa through pass easily, kumbe CCM iliwalisha propaganda kuhusu hizo vita pia?πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚, usidanganywe tena, DRC child soldiers proved u wrong na ku expose udhaifu wenu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…