Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anaiwaza kinoma ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ, na itamtesa sana hiv karibuni, hii battle ataikimbia sio muda
Matunda ya Dodoma ni wajukuu na vitukuu vyenu ndio vitayaona.., sio hiki kizazi bana, uchumi wenu hafifu, itawachukua muda sana, ni ndoto mnayo tu.., ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Na hiyo baridi ya Eldy how do u cope? Mimi ilinishinda, kwanza jioni, usiku na early morning! Wah!.., coffee or tea Kila wakati..,
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Ndio mana nilikwambia we jamaa una kinyongo, yani unaumwa moyo ukiona tunaendelea.. kule tulitoka kuzungumzia affordable houses na venye zinafaa kuwa decent, umeshindwa naona umekimbilia kwenye luxury ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ tena eti in comparison na DAR.. utaweza.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Hata ukizungumzia luxury bado sisi Tz estate ina maana kubwa mno na zinakuwa luxury haswaa .. naona umepost hadi renda kujitetea ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Matunda ya Dodoma ni wajukuu na vitukuu vyenu ndio vitayaona.., sio hiki kizazi bana, uchumi wenu hafifu, itawachukua muda sana, ni ndoto mnayo tu.., ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nime save hii comment yako nitaitumia mwaka kesho ..
 
Buxton zile ni affordable bana, ona sasa?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., how many affordable housing mmekamilisha kwa sasa? kwa vile pia hio sector tumewatangulia.., dogo tusisumbuane just google affordable houses in Kenya ujionee.., usiogope, hakuna haja tubishane vitu obvious na Kuna ata google earth..,
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Unaweza hata unafanya kwa maumivu unayopitia, many of your affordable houses ni ushuzi mtupu ukilinganisha of what we have .. ukibisha leta luxury housing proj zenu
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Unaweza hata unafanya kwa maumivu unayopitia, many of your affordable houses ni ushuzi mtupu ukilinganisha of what we have .. ukibisha leta luxury housing proj zenu
Unachosha na domo domo zako wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kukubali ukweli that is too obvious ni matanga kwako, kha!

Wacha ni watch Arsenal vs Liverpool.., wewe endelea kujichocha๐Ÿ’ช๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unachosha na domo domo zako wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kukubali ukweli that is too obvious ni matanga kwako, kha!

Wacha ni watch Arsenal vs Liverpool.., wewe endelea kujichocha๐Ÿ’ช๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ukiingia ku google luxury housing proj zenu zinakuja hizi zenye uko hapa kujipiga kifua kuwa ni affordable ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Na hiyo baridi ya Eldy how do u cope? Mimi ilinishinda, kwanza jioni, usiku na early morning! Wah!.., coffee or tea Kila wakati..,
am well soughted bro. am aware of the coldness here. had to buy staff at Naivas supermarket while in town today, to counter this mess

๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ thanks bro for your concern๐Ÿ™๐Ÿฝ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ