Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe pia uko hapa mimi nilifikiri upo tuu kule kwenye lile jukwaa letu pendwa la SMO.
 
Kumbe pia uko hapa mimi nilifikiri upo tuu kule kwenye lile jukwaa letu pendwa la SMO.
😬😬😬 Yaani Mimi ni pro πŸ‡·πŸ‡Ί,baada ya SMO kuanza nilihamia huko kwa mda, Nina mahaba na millitary news Sana mkuu, 🀣🀣, though mwanzoni nilitumia user name ya Ntaghacha. Mbona sikuoni kule SMO mkuu?
 
Jukwaa gn hilo mkuu tuje.
Ni jukwa la international kwenye vita ya Ukraine , nipo sana kule nafuatilia ndiyo maana nimeadimika.
 
😬😬😬 Yaani Mimi ni pro πŸ‡·πŸ‡Ί,baada ya SMO kuanza nilihamia huko kwa mda, Nina mahaba na millitary news Sana mkuu, 🀣🀣, though mwanzoni nilitumia user name ya Ntaghacha. Mbona sikuoni kule SMO mkuu?
Nipo kule toka vita ianze ila niliamua kuwa msomaji tuu, kijiwe changu ni kule kwa sasa kwasababu matokeo ya ile vita yatatuathiri sana sisi na vizazi vyetu vijavyo.
 
Huwa nashangaa umeadimika sn huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…