Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Kwa mimi ninavyojua na kwa nilivyoona, haya ambayo kadogosa anaita masafa marefu ni zile treni zenye limited stops.“Ya Kisasa” Ndio hapi hayo?
What defines masafa marefu na mafupi?
Kwa hiyo haya mabehewa yalioletwa ni obsolete? If so, why purchase them in the first place?
Hatujapigwa na Mchina, tumepewa tulichotaka Ila tunakubali we could have done better. Shida yenu mnatuchekelea eti yetu ni mbovu ilhali hamna tofauti Kati ya mabehewa yetu na yetu. Yani nyani kuchekelea makalio ya nyani mwenziwe.Nyang’au wenzako wenye akili timamu wanakubali kuwa sgr ya Kenya mmepigwa na mchina. Sasa wewe sijui unataka kumdanganya nani.
Weka passengers capacity ya JKIA na JNIA hapa tuone maneno mengi ya nini kijana. Hoja hupingwa kwa hoja.Airport kubwa ya 1.5M annual PAX? JNIA is among the smallest airports in East Africa kama hujui.
Weka capacity ya Jomo Kenyatta na Julius Nyerer airports kwanza tuchambue.Stop acting imbecile like your brother by avoiding the question. Ungetuletea jina ya airport ya pili kando na ile mabati rolling mills yenu. Secondly, how many passengers does that godown handle in a year compared to JKIA? If you can't answer these simple questions, then shut the hell up!!
Our MGR trains can rival Kenyan SGR speed with ease.That's bullet train, bongo version [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchina nyoko sana kawapiga kiini macho lakini kwe primary infrastructure kawapiga kishenzi sana. Si anajua huwa mnapenda majengo sasa na yeye kapita humohumoYani Kenya tulipata the best deal kutoka kwa mchina. Our SgR is superior ata ukiangalia vitu basic kama stations ni rembo sana kulinganisha na za tanzania View attachment 2426695View attachment 2426697View attachment 2426701
Hivyo vitu sisi tumekuwa tukitengeneza since 70s uliza Philips Arusha na National panasonic DarKenya is the tech giant of the region. These are things that will take Tanzania century to start making.
View attachment 2426743View attachment 2426744View attachment 2426745View attachment 2426746
Kuna Train Type aina Mbili“Ya Kisasa” Ndio hapi hayo?
What defines masafa marefu na mafupi?
Kwa hiyo haya mabehewa yalioletwa ni obsolete? If so, why purchase them in the first place?
Virgin safari ndefu ni Scotland tuu na hapo ni less than 500km hiyo bado ni short haul. Dar Kigoma ni 1600km hiyo ni long haul ili upate faida inabidi uwe na train ndefu kuliko EMU inayobeba abiria wengi na hapa ndio loco pulled trains inapohitajika na ndio dhumuni la kuingiza hizo behewa unazoona zinashushwa port.Kwa mimi ninavyojua na kwa nilivyoona, haya ambayo kadogosa anaita masafa marefu ni zile treni zenye limited stops.
Kwa mfano unaenda dar - Dom inaweza simama moro, kilosa kisha Dom.
EMU zinatumika kwenye safari za kusimamasimama kila kituo, yaani fupifupi.
Lakini hata hivyo huko kwa wenzetu treni zao zina muundo mzuri, mfano virgin train ya UK inapiga safari ndefu pia
View attachment 2426800
Behewa zetu ni high speed na zina HVAC system. Behewa yenu ikiwekwa kwenye sgr Tanzania ikipelekewa moto wa 160kph lazima vyuma huko chini kwenye matairi viachie maana imekuwa designed for sluggish movement.Hatujapigwa na Mchina, tumepewa tulichotaka Ile tunakubali we could have done better. Shida yenu mnatuchekelea eti yetu ni mbovu ilhali hamna tofauti Kati ya mabehewa yetu na yetu. Yani nyani kuchekelea makalio ya nyani mwenziwe.
Iyo ni oysterbayStreet Upgrading [emoji609][emoji616]
Pia they are cheaper to produce than EMUs and they can be easily elongated depending on routes plus hizi zitakuwa hazisimami ovyo , lazima kuwe na SGR passenger wagons , kwa upande wangu sijapenda design ya colors ila ndo ishatokeaVirgin safari ndefu ni Scotland tuu na hapo ni less than 500km hiyo bado ni short haul. Dar Kigoma ni 1600km hiyo ni long haul ili upate faida inabidi uwe na train ndefu kuliko EMU inayobeba abiria wengi na hapa ndio loco pulled trains inapohitajika na ndio dhumuni la kuingiza hizo behewa unazoona zinashushwa port.
Sijui Kiingereza naomba Unitafsirie Mkuu.
Maandalizi ya 2025 mtifuano wake hautaelezeka. Dkt Jason Rweikiza sijui anajisikiaje sasa hivi?Hao ni vijana wa system ya Kikwete na ndio wao wanapanga nanai akae wapi! Umeona wezi wakubwa wameridi huko Kagera??
Wewe nilikuambia hujaenda shule na ni mjinga so from now I won't engage you. I engage people who have a brain.Behewa zetu ni high speed na zina HVAC system. Behewa yenu ikiwekwa kwenye sgr Tanzania ikipelekewa moto wa 160kph lazima vyuma huko chini kwenye matairi viachie maana imekuwa designed for sluggish movement.
Hivyo vitu sisi tumekuwa tukitengeneza since 70s uliza Philips Arusha na National panasonic Dar
We bana acha longolongo. Pokeeni bullet trains zenu kwa majivuno 😃😃Our MGR trains can rival Kenyan SGR speed with ease.