Ulitaka kusema "ndumila kuwili"? Au uko kwenu Kenya ndivyo msemavyo?
kenya is a sovereign state! na kuna venye tuko na design yetu ya kiswahili..
hamuwezi tulazimisha kunonga kaa nyie.!! ala!
afteral kiswahili ilianzia pwani mwa kenya around Lamu na Kilifi hivi
nyinyi mnasema 'Gusa' sisi tunasema 'Guza'..
sisi vilevile 'Seng'enge' nyinyi 'Senyenge'..
βͺοΈKukumanga kwa Kungumangaπ€£
βͺοΈ'Muundo Mbinu' kwa 'Muundo Msingi'
βͺοΈ'Nyanya' kwa 'Bibi'
βͺοΈ'Stima ama Umeme' kwa 'Umeme' pekee..
βͺοΈ'Talanta' kwa 'Kipaji'
βͺοΈ'Ufisadi' kwa 'Rushwa'..
βͺοΈ'Metameta' kwa 'Meremeta'
βͺοΈ'Ndumakwili' kwa 'Ndumila Kuwili'ππ½