Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oh!! Siku hizi umeacha kutembea na mbolea ndani ya nguo zako?

These days, have you stopped walking with manure in your clothes?
Why waste your time translating nonsense to me. Don't you trust your language?
 
Sioni miti hapo kama hapa Dar View attachment 2458900
Bongolalas never cease to amaze. Nasemanga hapa kila siku watanzania huendeshwa na chuki na wivu za kijinga. Kila siku hapa tunapost picha za nairobi showing green spaces and neighbourhoods but Tanzanians always dismiss them saying hizo ni misitu, just because you dont have much tree cover in your city. Cha ajabu ni kwamba ikija upande wenu mnasifia sana hayo maeneo machache yenye tree cover. I call it jealousy.

Just to remind you, there's no greener city in EA than Nairobi. It's not by mistake that it's called the green city in the sun.
 
Kunyaland bwana huwa mnachekesha Sana 😂😂.

Mbamba Bay Town-Nyasa DC This is not a City but is much more green than Nairobery,Ni Kati ya Miji yetu mingi ambayo Ni green Kama Arusha,Mbeya,Babati,Dar nk..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…