Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwenye tahmeed ni mkenya mwenye asili ya tanzania tanga na mama yake mzazi anaishi tanga na sasa hvi anahamia kwenye bus za china baada ya kugundua siri kubwa kutoka kwa watanzania 🀣🀣🀣
 
Ati moja? Naezakutajia makampuni za mabasi zaidi ya kumi that uses Kenyan busesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Nitajie mbona 🀣🀣🀣 hilo bus naliona moja tu kutoka master au kuna lingine
 
Basi karibu zote Bongo saivi ni kutoka China. Nafkiri si muda mrefu tutapata assembling plant kama si manufacturing plant ya Youtong au zongtong .. mana kwa hii biashara now we lead the region
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…