Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I said it😂😂🤣🤣.

Elongated canopy is waving to me👋👋👋😂😂🤣🤣

View attachment 2461901
The canopy which will be cladded and enclosured? Ulitaka tujenge bricks pote ndio ionekane ni ndani? Kwanza sijui kwanini hata tunabishana nini na wewe wakati jengo halijafika hata half way ushaanza kudata……😅😅 tuliza makalio, utakuja shangaa, hatubahatishi sisi.
 
Wapi Tofauti ya hiyo canopy ya Dodoma na hii hapa😂😂

 
Huwa nafurahi sana mnavyopata tabu na Dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu nionyeshe tofauti hapa😂😂🤣😂




 
Asante engineer mjuaji haya wote mpigieni makofi kwa nguvu 👏👏👏👏 na niwape Risala fupi hiyu ndio designer wetu na pia ndio engineer mkuu wa hilo jengo haya makofi mengi kwakeeee waah wa waaaaah
 
This is a perfect way to visualize it.
Huwezi kusema kuwa Dodoma station treni zinaingia “ndani” kwasababu zitakuwa zinaingia kwenye some kind of tunnel on the side of the station, lakini si ndani ya jengo.

Tazama hii station ya St. Pancras international iliyopo London. Hapa treni zinaingia ndani ya terminal literally.
ichoboy01
 
Hata hili naona kama wamekosea hebu toa mchango wako engineer mkuu🤣🤣🤣🤣
 
Hebu tuoneshe canopy kwenye hii render na ukiipata tafuta sehem yoyote unywe soda ntalipa mm engineer mkuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…