Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hasa Kunyaland yaani tunapakana na Nchi za wazembe ambao wameshindwa kabisa kudhibiti inflation kwao Sasa wanasababisha importation ya inflation kwetu kwa vile
tunafanya nao biashara.πŸ‘‡

 
Wamepoteza pesa za umma kujenga kitu ambacho wanajua siku mbili tu kitakuwa vile vile. Wakundustan tunaomba picha za uzinduzi please [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tumefunika, sio poa.

Nimecheka sana, maana dah! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…