Kama hii ni poverty eti, Tanzania tutaitafutia jina..Kenya is so poor
View attachment 2476457
Ni ukweli kabisaa, town ndogo level ya Migori in Tz ni ushago deadly.., old model vehicles if any alafu vumbi kila eneo.., no tarmac.., asante "mzungu" google earth, ata kama waliibia wajerumani hiyo idea.., mtanzania hanidanganyi.,Huko watu wadogo hawana magari. Town Mdogo size ya Migori huko ziko empty of cars. Kenyan small scale farmers choose cars like probox, fielder and Hilux because they're hardy and cheap to maintain ama mtu anategemea mfugaji kuku abebee kreti za mayai kwa Range Rover? Every car has its use.
Wakuu ikiwa kiwalani imemshangaza jamaa wallahi tujipongeze sn Watz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania tunaijua kote kote usijikaze na kuchagua chagua visehemu vichache "kujimwambafy" as u guys put it.., tabia za vijiweni nilidhani uliacha mwaka jana kumbe bado, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Is this a Ugandan town?.., nakwambia mko whatsapp group moja na Uganda, tazama.., π π π π π π π π π π π alafu utasema nawaonea..,Wakuu ikiwa kiwalani imemshangaza jamaa wallahi tujipongeze sn Watz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha picha ziseme wapi ni Uganda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Is this a Ugandan town?.., nakwambia mko whatsapp group moja na Uganda, tazama.., [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu utasema nawaonea..,
Sasa kama hata mitaa zenu za kifahari ndio hazina lami ni vumbi tupu huna hata haya kusema hizo barabara zetu hazina viwango. Hizi za mitaa yenu ya kifahari ziko na kiwango gani?Hiz estate roads zenu hazina viwango
Migori kwa ujumla bila ya kutafuta visehemu vichache is far better, nyie nikiweka aerial view ya mji level ya Migori ni ushamba na Ugandan look nitaona.., bana wacha kujikaza, hauna jibu ya kuficha uchi wenu, utakoma kwa propaganda na kujaribu kupotosha ili kujiliwaza, mko nyuma sana π π π π π π π πWacha picha ziseme wapi ni Uganda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2476556View attachment 2476557
Mm nakupa roads za uswazi na zina lami, concrete roads mnaita vumbi washamba kweli nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama hata mitaa zenu za kifahari ndio hazina lami ni vumbi tupu huna hata haya kusema hizo barabara zetu hazina viwango. Hizi za mitaa yenu ya kifahari ziko na kiwango gani? View attachment 2476555
Watanzania chuki na wivu haitawasaidia kupita Kenya kwa lolote
Mombasa ni dawa tosha kwa Dar.., hehehe.., yaani hii ni posh residential hii ingekua in Mombasa ni mtaa ya kawaida sana, akina Shanzu hivi, hakuna high end estate in Coast without tarmac, Tz bana ππππππSasa kama hata mitaa zenu za kifahari ndio hazina lami ni vumbi tupu huna hata haya kusema hizo barabara zetu hazina viwango. Hizi za mitaa yenu ya kifahari ziko na kiwango gani? View attachment 2476555
Watanzania chuki na wivu haitawasaidia kupita Kenya kwa lolote
Ugandaπ₯ππππππππππMm nakupa roads za uswazi na zina lami, concrete roads mnaita vumbi washamba kweli nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2476562View attachment 2476563View attachment 2476564View attachment 2476565View attachment 2476567View attachment 2476569
Bila probox hawaelewiProbox tu ndio gari zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2476340View attachment 2476342
Jf imewazindua sn akili na kujiona mlivyo bado, mlidhani mko sawa na sisi kumbe tulishawawcha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uganda[emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Somo mshalipata, sasa mkawasumbue viongozi wenu wapambane wasitambae mana nchi zingine zinakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uganda[emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stop cherry-picking bongolala. Moja ya mitaa yenu ya kifahari ndio hii hapa na ni vumbi tupuMm nakupa roads za uswazi na zina lami, concrete roads mnaita vumbi washamba kweli nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2476562View attachment 2476563View attachment 2476564View attachment 2476565View attachment 2476567View attachment 2476569
Mmejianika na kujishusha sana, afadhali mngebaki mkipost kijitonyama ya kuficha aibu ilio Tanzania., ona sasa what u are posting, hizo ndio muonekano dhabiti wa Tanzania, pia dodoma iko vileπ π π π π π π π π π π πJf imewazindua sn akili na kujiona mlivyo bado, mlidhani mko sawa na sisi kumbe tulishawawcha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watakuambia ni picha za 90s. Hawachokangi na huo msemoKama hii ni poverty eti, Tanzania tutaitafutia jina..
Tanzania kila eneo karibia kila kitu kina muonekano wa kizamani.., tokea makazi, watu na magari π π π π π π π π π π linganisha..,
View attachment 2476549
View attachment 2476550
Kuna jama wao youtube, channel yake inaitwa "Inspire to Travel" jamaa ameanika Tz in 2022 utashangaa.., yaani wako down sana.., Migori is better..,Watakuambia ni picha za 90s. Hawachokangi na huo msemo