Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kuna ndege kutoka Tanzania inaenda mji Mwingine wa kenya tofauti na nairobi? [emoji848]

Tanzania ina miji mitatu ambayo Kenya ni international destinations [emoji1787]

Halafu wanaona tupo level 1 [emoji854]

View attachment 2476561

Sio tu Tanzania , hakuna ndege ya any international airline inatua popote Kunyaland apart from Nairobi,
A reason tunasema kenya ni nairobi na nairobi ni Kenya, kwingineko kote wanaenda mavi kwa vichaka,
Huku TZ unafika Oman, Dubai, Doha, Amsterdam, Rome, Paris , Istanbul, African cities destinations etc directly to or from Kilimanjaro au Zanzibar,
Not necessarily From Dar.
Diversification of services.
 
Wakenya ni mafukara sn asikuambie mtu, we angalia tu hata hawa wa humu wakipost maisha yao halisi yn ni vichekesho, mtu anaweka sinia la chang'aa aisee anapost humu jf, uyo uyo mtu keshawai kusema anat.omb. mademu wa elfu tatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[mention]ichoboy01 [/mention] aongezewe ulinzi, jioni ya leo amewachanganya kabisa wakundustan, na wanakuja katika wingi wao wakijaribu kujitetea, kisha wanaishia kutapatapa na kushindwa washike wapi ,
[mention]ichoboy01 [/mention] tafadhali fika pia naipori tuone zile gari za 5 years old na brt only paints [emoji3][emoji3][emoji3]
Somo: tujifunze kuishi maisha yetu katika uhalisia.

Hakika, wakundustan ni time travelers [emoji3][emoji3][emoji3]
Baada ya wachina kuwaletea garimoshy za karne ya 18 kutoka kwenye makumbusho ya kale huko mashariki ya mbali kwenye ardhi ya Gengis Khan, huko Mongolia, Wamesafiri back in to time (time travelers ) wakaleta kwenye uhalisia gari za miaka ya 1980 na kuzipa umri wa miaka mitano [emoji3][emoji3][emoji3]

 
Kutana na majengo matatu makubwa ya mihimili mikubwa mitatu in Tz.. the most iconic government buildings in the region.. mahakama 👇ni jengo la makao makuu ya mahakama la sita kwa ukubwa duniani na ni la kwanza in Africa... Bunge 👇ikulu 👇.. pamoja na mji mmoja wa serikali kuu "the largest and most iconic city in the region.. 👇East Africa's super power?? 🤷🏿‍♂️.. Don YF. Kuwa na heshima na taifa lililokuzid wewe mbwa.. Hamuna chochote cha kutuzidi sisi nyie kunyans
 

Hahaha, kuna yule mmoja wao alikuwa na pisi yake hivi [emoji3] halafu anafikia kwenye loji fulani , halafu anapost humu [emoji3]
Dah hawa watu sijui kwanini wanapenda sana maigizo
 
Dom kama Dom kila siku inazidi kuwapea presha [emoji1241][emoji117][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Yani mwenyekiti wenu naomba ulinzi hakika wakutosha sana tafadhalini 😆😆😆😆😆
 
Naomba wailete Konza village tushindanishe, hii Dodoma hata ka Nairobi hakatii mguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gari za 2 yrs ago hzo hapo🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…