Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR ya kwanza Uganda inajengwa Kampala mpaka Tororo hizo ni za ndani motomoto kabisa.
 
Halafu Merkez atawajengea Uganda reli ya umeme sasa sijui kenya itaendaje bila ya kenya ku upgrade waweke umeme pia maana hapa mwendo ni full electric locomotives hakuna fossil guzzler itakoyofungwa kwenye train.
 
Hapa ni MGR tuu itakuwa refurbished. Building of Uganda SGR to Malaba is contingent upon Kenya finishing its stretch of rail from Middle of nowhere to Malaba. But I don't see any efforts towards that end na Uganda hawawezi kuwa wajinga wajenge a rail to nowhere wakati wana major towns zenye population kubwa inayohitaji huduma za reli.
 
Halafu Merkez atawajengea Uganda reli ya umeme sasa sijui kenya itaendaje bila ya kenya ku upgrade waweke umeme pia maana hapa mwendo ni full electric locomotives hakuna fossil guzzler itakoyofungwa kwenye train.
Inaenda wataweka locomotive ya diesel Malaba! Kumbuka diesel locomotive inapita pia kwenye electric SGR track!
 
'Tanzania' tunaenda kuwa na timu mbili za Taifa kama vile England na Wales?
 
Baada ya maumivu kutokana na picha za Ichoboi kuanika uchafu wa nchi yao, washaanza kurudi.. mmoja wao ndo huyoo[emoji3].. wengine wanafuata
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ramani za ku-forge utazijua Mkundustan kaandika Juba ndani ya Uganda badala ya Gulu! [emoji1787] [emoji1787] [emoji116] [emoji116]

Wadangagiza hakuna nchi EAC inataka kuungana na SGR yenu ya umbwakni [emoji23]
 
Inaenda wataweka locomotive ya diesel Malaba! Kumbuka diesel locomotive inapita pia kwenye electric SGR track!
Sasa si mpaka wajenge SGR from porini to Malaba. Na hali ya uchumi ilivyo sasa huko Kunyaland I don't see it being constructed within the next 10 years. At the same time TZ can maximize on lake victoria port infrastructure and marine vessels to carry goods to Port Bell.

Within those 10 years wakati jirani ana scratch kichwa sisi tumesha establish a seamless railway network connecting Rwanda, Congo, Burundi na Uganda to Dar and Tanga Ports.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…