Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila nikijarbu ktype mikono inatetemeka, Ee Mungu endelea kuusafisha Moyo wake yule aliyetufanya kuipenda Nchi yetu, aliyeweza kutukusanya katika taarfa za Habari kusikia chochote kutoka kwake, huenda asiwe perfect lakin ilikua ni zawadi umetupa. Tanzania haihitaji siasa bali Maendeleo tunaiga US ambao wanakila kitu walichobakiza ni Siasa tu.
 
Wakenya kuweni wa kweli, Kenya kuna mkenya wa kuvikataa hivi vyote? πŸ˜‚πŸ˜‚

Hakuna mkenya wa kukataa haya maisha lakini Tanzania wapo na hii inatoa picture kwa some extent Tanzanians are satisfied

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…