Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

 
Tanzania requested funds from different places including China, BRICS, Turkey, WB but didn't get due to many reasons, the same way Uganda and Kenya requested funds from China but didn't get. Can you show us article which states, "Tanzania gets fund from Turkey?.
To request and to get are two different things
 
Hii debate imefanya nimuulize mjapani hapa ofisini kuhusu Japan na China.
Jibu alilosema. Japani iliendelea kabla ya China lakini China ipo juu yao kwa sasa.
Mm kuna mjapan nmewahi kumuuliza pale kazini kuhusu China akajibu hivyo hivyo, tena nilimwambia nchi yenu imeendelea kuliko China lkn hampigi kelele wala nn, mjapan akakataa akasema China kwa ss imeendelea kuliko Japan, wenzetu huwa wanasema kweli na huwa wanaachana na mambo ya historia wanasema ukweli.
 
Kitaalamu inaitwaje hii? Na ile GDP ya Jumla huwa inatoka maeneo yapi mengine ? Watu wa Uchumi tupeni madini.
Nairobis Gdp is almost similar to Tanzania's GDP, hii wikipedia yake amecook tu
 
Utazunguka huku na kule but mwishowe the truth shall set you free
 
Naona media za Tanzania ndo zimejua leoπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…