ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,170
- 3,388
Suswa hamuwezi toka leo, uwezo wenu mdogo kifedha.Mombasa-Naivasha and soon MOMBASA - KAMPALA SGR is/will be the only double-stacked SGR in Africa
Locals are taking over critical operations such as maintenance and control
Media za kibongo ni za kipumbavu sn wamekaa kuongelea habari za umbea umbea mara mwijaku sijui baba levo, yn ni upuuzi 24/7 habari nyingi za maana kuhusu Tz wanazipata JF just imagine, mambo kibao kuhusu uzuri na sifa za Tz hawachapishi ila wao ni umbea tu.Naona media za Tanzania ndo zimejua leo[emoji3]
Imagine TFF ndio wamejua leo aisee.Naona media za Tanzania ndo zimejua leo[emoji3]
Tuombe iwe hivyo ili hawa wajinga wakimbie kabisa humu ibaki historia kama China na Japan [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arenas? [emoji102]
Wanapenda umbea tu content za maana wanaziavoidMedia za kibongo ni za kipumbavu sn wamekaa kuongelea habari za umbea umbea mara mwijaku sijui baba levo, yn ni upuuzi 24/7 habari nyingi za maana kuhusu Tz wanazipata JF just imagine, mambo kibao kuhusu uzuri na sifa za Tz hawachapishi ila wao ni umbea tu.
Sio lazima, mini baba na mama yangu hawajasomea Ivy league university yeyote.Hizi Ivy league schools, huwa ni sehemu ya kupata connections. Pia kama mazazi au wazazi wa wazazi wako waliwahi kusoma huko, hicho ni moja ya kigezo cha kuchaguliwa.
So kumaanisha National bank do not announce their financial results independently ama what exactly are you insinuating?Acha ujuaji wa kishamba wewe hiyo profit ni ya KBC Group which combines KCB bank, national bank and other non banking businesses.
Na hata waliripoti contents za maana huwa wanaripoti ndivyo sivyo
It seems I am arguing with someone who has no knowledge of what s/he is saying.So kumaanisha National bank do not announce their financial results independently ama what exactly are you insinuating?
Ukiona hiv.. ujue hali ni mbaya 🤣🤣Suswa hamuwezi toka leo, uwezo wenu mdogo kifedha.
Kwenye bank sector majirani wako vizuri zaidi yetuTuendelee tusiendelee?
View attachment 2503981
Asante mjumbe wa halmashauri kuu na nikupe taarifa tu hapa nilipo nimeziweka kiganjani nazipikicha huku navuta vuta kinyoleo kirefu kuliko vyote kiliokua kimebakia🤣🤣Naunga Mkono, Tuendeelee na Battle , Mwenyekiti [mention]ichoboy01 [/mention] Tunaomba uendelee kubinya Kende zao[emoji23]
So angepost sinia nzuri ungeamini he aint struggling ama?Ukiona hiv.. ujue hali ni mbaya [emoji1787][emoji1787]
Wengine wako humu wakiimba wimbo wa GDP kubwa, lkn picha zao zengine wanazopost humu zinawaumbua.. mara apost sinia chafu la nyamba za mbwa.. mwingine apost magar kukuu ya '5 yrs ago'..barabara ndo hivyo hazielewek.. BRT imestack..yan ovyo ovyo hakuna muelekeo
Ku request sio kupewa hvi ww mbona mgumu kuelewa 🤣🤣🤣 hata china tuli request lakini hatukuchukua mbona kitokana na masharti yao na hakuna ushahidi utapata tanzania imesaini kuchukua mkopo turkey never ever
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm
Tanzania on Tuesday signed a contract with Turkish firm Yapi Merkezi to build a 368 km section of standard gauge railway that is expected to cost $1.9 billion and will be funded by loans.www.reuters.com
But as always, you'll deny everything therein
Hawa achana nao. Akili zao hureason vifunny sana. 🤣 🤣 🤣So angepost sinia nzuri ungeamini he aint struggling ama?