Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anajizungusha tuu,nikiona kwenye Bajeti ijayo ndio nitaamini Kuna uwanja kweli..

Kwa hayo maelezo anayosema huo uwanja utakuwa sio chini ya bil.400

Bora Wachelewe ila wajenge sports complex kama hii hapa πŸ‘‡

πŸ‘†Sio just uwanja wa kawaida kama huo hapo
 
Dah hii hatari sana kwa elimu ya nchi. Kumbe walmu wetu huku wana enjoy sana kimaslahi.
Wakenya tumewazidi mambo mengi mengi mnoo ni vile wamejaliwa midomo mipana isiyo na shukurani, huku Tz tulikuwa tumewaajiri maelfu ya Wakenya, asilimia zaidi ya 60 ya walimu wote wanao graduate Kenya walikuwa wanaajiliwa Tz mpk pale JPM alipowapiga marufuku baada ya kuwa walimu wengi wa Kenya walikuwa wanafanya ushenzi wa kubaka wanafunzi.
 
Unataka kuongea kuhusu nn hapa kwa kua ECDE sio waalimu ni wachimba makaburi au🀣🀣🀣🀣🀣🀣

ECDE teachers sio walimu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
They are not employees of Teachers Service Commission of Kenya, the official employer of all teachers in Kenya. ECDE teachers are employed by county governments
 
Eti 60% ya walimu wa Kenya waliajiriwa Tanzania? πŸ˜‚πŸ˜‚ Where did you get this data from bongolala?

Secondly, how much does the lowest paid teacher earn per month in Tanzania? Use credible evidence to back it up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…