Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunawalaumu bure wakenya kwanini hizi nyumba zao za mijini hazina madirisha, kumbe ndio asili yao mpaka huko vijijini nyumba hawaweki madirisha kabisa

Pia tunawalaumu bure kwanini wana flying toilet hawajengi choo kumbe ndio asili yao huko vijijini kwao hawana vyoo wala bafu kabisa 😂😂😂😂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…