Ukizoom tu unaona tayar ni jalala πππHata Lucky Summer which is considered a slum in Nairobi nyumba ni za block, tena apartments. Sio hizo takataka zenu zilizotapakaa kila mahali in the most disorganized fashion bila hata barara View attachment 2510903
compare with your middle-class area below and tell me the differenceHzi ndio zile gorofa za tope zinazoanguka kila siku kwann zisiwe slums ikiwa maeneo tu yanaonekana ni jalala π€£π€£π€£π€£
View attachment 2510908
Picha mbili hzi ni za mwaka gani ?? Na hio picha ya kwanza hapo ni maeneo gani dar π€£π€£π€£π€£π€£compare with your middle-class area below and tell me the difference View attachment 2510912View attachment 2510913
These guys are bogus man! If you take the numbers that MChina mentioned. 10,000,000 trips but they have 10,000 registered vehicles using the road.Hebu naombeni muskilize hii habari kwa umakini kidogo gari zilizopita ni 10k in 7 months [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 10m trips
Hebu kwanza tizama mto unaopita hapo tandale ulivo msafi na wakisasa unategemea tandale itakua ile ya miaka 20 iliopita??π€£π€£π€£compare with your middle-class area below and tell me the difference View attachment 2510912View attachment 2510913
Unamaanisha hii Tandale moja middle-class area ama kuna nyingine?Toka nilipokuonesha tandale siku hzi sisikii hata ukiitaja π€£π€£ taratibu utaelewa tu
Jiji kama jiji wangefanya hii ishu kama chanzo cha mapato. Nyumba ipakwe rangi kila baada ya miaka 2. If not unapewa fine kama laki hivi!!Imefika muda kuna majengo yapo pale CBD ni mazuri lkn rangi imechakaa basi waamrishwe kupaka rangi au wavunje hayo majengo yanaharibu picha nzuri ya CBD yetu safi.
Hata haya maji kwenye hii picha pia ni masafi sana, na hapa pia ni Tandale middle-class areaHebu kwanza tizama mto unaopita hapo tandale ulivo msafi na wakisasa unategemea tandale itakua ile ya miaka 20 iliopita??π€£π€£π€£
Ana macho kama mbilimbi
Ni za 1970s na hapo ni Kibera NairobiPicha mbili hzi ni za mwaka gani ?? Na hio picha ya kwanza hapo ni maeneo gani dar π€£π€£π€£π€£π€£
Picha mbili hzi ni za mwaka gani ?? Na hio picha ya kwanza hapo ni maeneo gani dar π€£π€£π€£π€£π€£
Barabara ni zege tu mtaani tandale ina mpaka magorofa π€£π€£π€£Hata haya maji kwenye hii picha pia ni masafi sana, na hapa pia ni Tandale middle-class area View attachment 2510940
Yaonekana nawakera sana ππππAna macho kama mbilimbi
maghorofa? π πππBarabara ni zege tu mtaani tandale ina mpaka magorofa π€£π€£π€£View attachment 2510945
Hayo magorofa yako wapi kibera au unaamsnisha haya hapa π€£π€£π€£π€£maghorofa? π πππ
Yapo hata Kibera. Yani watanzania kwa kweli hii battle inawapeleka babaya. Hadi mnamentiion magorofa? πππ
Hii picha sio current kwa Sasa Kuna BRT joining sokoine Drive to GerezaniFanya pavement hapa kwanza ndio uje na povu
View attachment 2510335
10k ni gari zilizorejister kutumia electronic tolling system, usiwe mjinga kama ichoboyThese guys are bogus man! If you take the numbers that MChina mentioned. 10,000,000 trips but they have 10,000 registered vehicles using the road.
If you break it down to further you get an average of 4.7 trips per car everyday. Who the hell makes 5 trips on that road a day!
Kwani hizo gari 10,000 zote ni daladala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi nyang'au hovyo sana!
Wanasifia mpk ushuzi mbwa hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakulungwa wanavyopenda Sifa , Wameamua kupata sifa kwamba City Council ina gari zuri ila wakapotezea fedheha na aibu na kutokua na ustaarabu ku park ovyo hadi gari limefungwa tairi. Bora ange crop [emoji23].
View attachment 2510559
Ni wanavituko kweli ,ujinga wao wakujifariji wamejisahau wanashindwa hata kufanya hesabu yakinifuPopulation ya Nairobi haizidi 5M, Kama Nairobi iko na gari 10M, hiyo maana yake Kila mkazi mmoja wa Nairobi Hadi watoto wadogo na wakazi wote Kule Kibera na slums zingine, wanamiliki gari 2 kwa Kila mtu[emoji13][emoji13][emoji13]