Me nafikiri hawa Wakenya ni kama tunawabaka tu, nafikiri battle ihamie SA.
Nyeupe ya kichaga hivi[emoji1787]Niambie unahitaji pisi ya aina gn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wachaga hawajui mapenzi.Nyeupe ya kichaga hivi[emoji1787]
Nyinyi mumejenga yenu mkafika nayo wapi?Jengeni msingi wa uchumi imara kwanza ili muweze ku sustain hayo mnayoyapenda.
Huyo mtaftie mmakonde anyonywe mpaka kipumulio chake alaf tuone atarudi kwao🤣🤣🤣Wachaga hawajui mapenzi.
Tanzania baba laoNimekubali naona hata mbolea inatoka Tz
Bullet train 😂 😂 😂Mkinionesha SGR train inayofanana au kuikaribia hii nafunga account JF.
Full AC for pasengers comfort. View attachment 2515692
MagadiKenyans Guess the location?
Sasa mnaelewa tukisema kwamba reli yetu inatumia umeme, na train zetu pia zinatumia umeme. Both railway and locomotives.Bullet train [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I know that, and they are also bullet train 😂😂Sasa mnaelewa tukisema kwamba reli yetu inatumia umeme, na train zetu pia zinatumia umeme. Both railway and locomotives.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliwaambia kwamba ninyi wakenya ni washamba sio kwamba hatuwapendi, huo ndio ukweli, inawezekanaje katika karine hii ya kisasa mnakwenda kujenga reli ya 1800s?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I know that, and they are also bullet train [emoji23][emoji23]
Nanyi msiowashamba mkajenga bullet train, sivyo? 😂Tuliwaambia kwamba ninyi wakenya ni washamba sio kwamba hatuwapendi, huo ndio ukweli, inawezekanaje katika karine hii ya kisasa mnakwenda kujenga reli ya 1800s?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanajua sherehe[emoji1787]Wachaga hawajui mapenzi.
Katika maombi wasisahau kupanda miti sana hasa kaskazini magharibi mwa kenya
Ukionesha Dollar ndio ishara ya maisha Bora hapa waafrica tunafeli badala uoneshe project we unaonesha fedha.Ukona mapisi kali tuingie Maison[emoji1787]View attachment 2516042
Ndio tunajenga now.Nyinyi mumejenga yenu mkafika nayo wapi?