Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu umetunyima picha ya ile DMDP Park, si kuna hawa jamaa wanasema kila siku eti Dar hakuna Parks wakati wao mji mzima wanaenda kukaa sehemu moja.
 
Kama hawatakubaliana na hiyo bei wajengewe nyumba za bei rahisi sehemu nyingine halafu hizo wapewe wenye kuzimudu. Gharama inakuwa juu kwasababu thamani ya kiwanja ni kubwa.

Sehemu ambayo unaweza kwenda kwa miguu Kariakoo na Posta kwa Dar haiwezi kuwa sawa na maeneo ya pembezoni mwa jiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…