Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waitoe wapi hiyo pesa? Pesa ya kununua chakula tu mpaka wakope! Nchi imefilisika ile
Mbona wasiwajengee masoko proper?
Wacheni kuweweseka mibongolala kwa mambo msiyojua. In the last two years alone, these markets among others have been built and operationalized.

1. Westlands Market

2. Wakulima Market


3. Qware Market


4. Juja Market


4. Ngong Market


5. Karandini Market, Dagoretti
 
Huu ni mji Ama uswazi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2527417
Enyewe levels zenu ziko down Mibongolaa
Morogoro size yake ni nakuru sio mtwapa au njaa inakuwasha wewe 🀣🀣🀣 na nafkiri morogoro huijui wewe eti mtwapa kijiji ambacho kimepitiwa na highway ya kwenda malindi unaeza sema nini wewe
 
Morogoro size yake ni nakuru sio mtwapa au njaa inakuwasha wewe 🀣🀣🀣 na nafkiri morogoro huijui wewe eti mtwapa kijiji ambacho kimepitiwa na highway ya kwenda malindi unaeza sema nini wewe
Hichi kijiji cha uswazi si kitu cha kutangazia watu. Levels zenu ziko down
 
Hichi kijiji cha uswazi si kitu cha kutangazia watu. Levels zenu ziko down View attachment 2527821
Tena hii picha kwa taarifa ni outside morogoro town ni nje kidogo ya morogoro town na hio roundabout unayoiona ni bypass ya njia kwenda dodoma nyingine kwenda dar na nyingine kwenda morogoro town na nyingine kwenda iringa uliza ufunzwe kwanza 🀣🀣🀣🀣🀣 unakuja unapayuka tu hapa

Sasa mm nakupa ufahamu sikunyingine usije ukaota bado ni tanzania ya 90s 🀣🀣🀣 nimekuonesha raman ya kila njia wapi inaelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…