Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hiyo GDP huwa ina wasaidia nini au ni sifa tu kuwa nayo kubwa bila faida yoyote 😁😁🀭🀭🀭
Pale mshiko unapokuwa umeshawasili. Mda wetu sasa watanzania kuvuna hizi fedha walizopewa msaada
 
Ni sawa unajua kwann imejengwa 2008 and now ni 2023 unataka kunambia thamani ya kujenga meli 2008 ni sawa na kujenga leo alaf ilikua ni bid na nyinyi mukashinda kwa bei ya chini kuliko wengine sasa ulitaka tuwanyimie 🀣🀣🀣 sisi hatuna roho mbaya kama zenu wala hatuna wivu na kenya
Tanzania ni mabibi zetu, lazima waturudishie pesa ya kununa mahindi yao
Hakuna pesa mutarudisha hapo kwanza hio repair yake tu mutajuta nakwambia 🀣🀣🀣 nyinyi sindio mumetoa bei ya chini kabisa sasa tunasubiri baada ya 6months
 
Jirani Mkikwama Msiwe Mnaona Noma Kutucheck Namna Hiiβ€¦β€¦πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 2536572
ona aibu hii inayowakumba na ukiwaambia ukweli wanakasirika na matusi juu🀣🀣🀣 dunia ya leo utamdanganya nani kwa source za kupikapika ovyo tu

Mwisho wa ubaya aibu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…