Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So MP hajui chochote kuliko ww mnuka uharo ?? Yani yule yuko kwenye serekali awe hajui hali halisi kuliko wewe chizi 🀣🀣🀣 viongozi wenubwanajaribu kuwaambia ukweli na ukweli hamuutaki
 
Concern yourself with the poverty down there.
Kenya GDP yetu haiko ligi moja na yenu.

And the gap is only growing wider, supported by data.
 
Kwahiyo Ichoboy co mtanzania au sio? Huo ukabila wenu pelekea bibi yako kijijini huku kwetu haturuhusu huo ushenzi wenu, kwamba mkenya ni lazima awe mweusi tii na mdomo uliodondoka kama wako si ndio.
Ichoboy ni mwarabu bonoko. Mtanzania ni mtu kama wewe mwenye asipobeba rungu na torch usiku analala njaaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
So MP hajui chochote kuliko ww mnuka uharo ?? Yani yule yuko kwenye serekali awe hajui hali halisi kuliko wewe chizi 🀣🀣🀣 viongozi wenubwanajaribu kuwaambia ukweli na ukweli hamuutaki

MP wa upinzani analipwa kusema Kenya inafanya vibaya.

Data ndio tunaamini.
Mbunge huyu kwanza the first statement ati Kenya GDP 2015 ilikuwa zaidi ya $80 billion ilikuwa uongo. Huyo ni kichaa tu kama wewe.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 so akiwa wa upinzani asiseme ukweli kua kenya imeangukia pua au munasubiri muanguke alaf muanze lawama ??? Mbunge kachaguliwa na wananchi amekua wazimu
 
Kwanza piga makofi πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ UN not IMF or world bank???🀣🀣🀣
Nilishakiambia uende ukaombe akili kwa watoto nursery school πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£. WB and IMF zote ziko chini ya UN, UN ndio kusema. Ni kama in Tanzania there's Zanzibar na Tanganyika, gani ndio kusema na inaheshimiwa zaidi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Tanzagiza is a confused country. Unaexport raw materials instead of finished products πŸ˜‚πŸ€£
Ukimaanisha gold sio finished goods ama?

Saud arabia ana oil na anauza crude oil inamaana hana akili au ulitaka auze mahindi??🀣🀣🀣🀣
 
Kuna stima kwako? Ama unangoja kutumia mshumaa usiku?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Kuna stima kwako? Ama unangoja kutumia mshumaa usiku?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
Muda wote stima ipo na wakikata basi kuna ujenzi unaendelea wa BRT wanahamisha nguzo 🀣🀣🀣
 
Ukimaanisha gold sio finished goods ama?

Saud arabia ana oil na anauza crude oil inamaana hana akili au ulitaka auze mahindi??🀣🀣🀣🀣
Ichoboy you are both stupid, idiot and illiterate. There's refined gold and unrefined gold. Tanzagiza is exporting unrefined goldπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Source Rufas Kamau 🀣 🀣 🀣 🀣

I work as a financial markets researcher and analyst for EGM Securities.

View attachment 2555450
Nchi ya GDP haina dollar ina njaa haina ajira huku maisha magumu hapo hapi debt to GDP ratio inaelekea 80% wako hapa wanapiga kelele 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ichoboy you are both stupid, idiot and illiterate. There's refined gold and unrefined gold. Tanzagiza is exporting unrefined goldπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
Leta evidence kua tanzania ina export unrefined gold ukipata unitag fala kweli ww hujui sheria za tanzania na unaongea hapa au huna taarifa kua kampuni za gold refinery zipo za kutosha na sheria zilibadilishwa toka kipindi cha magufuli
 
Muda wote stima ipo na wakikata basi kuna ujenzi unaendelea wa BRT wanahamisha nguzo 🀣🀣🀣
Tanzagiza ndio kinara wa blackouts in East and Central Africa πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…